Mtanzania Erica Lulakwa anzindua Campaign kwenye website ya Indiegogo kwa ajili ya kurekodi album yake ya kwanza. Ambayo itarekodiwa na producer wa kimataifa Andre Manga ambaye ametengeneza muziki na Mshindi wa Grammy award Angelique Kidjo pamoja na Josh Grobin. Erica anahitaji kufikia watu wengi duniani ili kufanikisha lengo lake. 

 Kwa maelezo zaidi na zawadi mbalimbali bonyeza: http://www.indiegogo.com/EricaLulakwaAlbum/x/1787560 

 Angalia na mwambie na rafiki yako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hapo dada umewasiliana na wazungu wenzako na siyo sisi Watanzania.

    Jitahidi uongee kiswahili ili kiweze kuthaminiwa na wengine vile vile.

    ReplyDelete
  2. hahahahah!!!! sio bongo tz huwa hatuchangii hayo mambo huku tunachangia Harusi so its better kama ukidanganya kama unaolewa kwa mala ya pili utapata hela albu hell no

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...