Daladala lenye nambari za usajili T 141 BCT lifanyalo safari zake kati ya Mbagala Rangi 3 - Mwenge,likiwa limesimama katikati ya Barabara kwenye Kona ya Mwananyamala A,likipakia abiria mchana huu,bila kujali usalama wa abiria hao na kuwa hapo ni barabarani na kuna magari mengine yamesimama yakisubiri apakie abiria.hivi hii imekaaje wadau?? 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mbona poa tena halipo katikati ya barabara wacha uzushi tuwekee habari na matukio ya kigogo au mafisadi wakiwa kwenye matanuzi

    achana na hao waganga njaa bin walalahoi.

    ReplyDelete

  2. IMEKAA VIBAYA SANA, PIA INAUDHI KWELIKWELI KAMA WEWE NI DEREVA UKO NYUMA UNASUBIRI KWENDA.

    WENYEWE WANAITA "JUU KWA JUU"

    ALMOST IMPOSSIBLE TO FIND A CURE FOR THESE PESTS.

    ReplyDelete
  3. daladala la askari. unatwanga maji kwenye kinu... ukiwa nyuma vumilia tuu utapata presha bure

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...