Toyota Mark II ya mwaka 2002 iliyo katika hali nzuri kabisa inauzwa. Mwenye kuihitaji cheki na Anko Remmy namba 0786670594
 Kwa ubavu
Kwa mbele

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mdau gari haziuzwi hivyo..hebu tujifunze kwenye auction za japan.wanaweka bei za kuanzia..hii ni biashara kwa nn ufiche bei??au unapenda kupigiwa pigiwa simu mdau??Taja bei ya kuanzia itasaidia hata mtu kuangalia apige simu au la??

    wabongo biashara zinakua ngumu sana kwetu jamani..weka hata fuel capacity basi..cc ngapi??

    ReplyDelete
  2. mmmh tutafika tu...BEI,BEI..BEIIIII

    ReplyDelete
  3. yafaa kudokeza sababu za kuuza ingawa umeacha namba ya simu lakini ni vema kudokeza sababu.mie nimeipenda ntakucheki.

    ReplyDelete
  4. Haya majini huwa hayauziki weka bei Kabisa tujue pa kuanzia.

    ReplyDelete
  5. Tuambie basi year of manufacture!!!

    ReplyDelete
  6. wewe bei ya nini piga simu unafikiri fungu la nyanya hilo

    ReplyDelete
  7. Mzungu mmoja aliniambia "Ooo Tanzania is so beautiful but the people are so lame" Sasa naona kama kuna ka ukweli hapa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...