Maonyesho ya makampuni Bungeni yaliyoandaliwa na EAG Group LTD yameendelea kwa mafanikio makubwa. Maonyesho haya Maonyesho haya yanalengo la kutoa fursa kwa makampuni na wabunge kupata wasaa wa kubadilishana mawazo na kujua huduma zitolewazo na makampuni mbalimbali yaliyopo Tanzania. Akiongea wakati wa ufunguzi wa maonyesho hayo Afisa Mtendaji Mkuu wa Imani Kajula alisema ‘’Tunaamini upatikanaji wa taarifa sahihi ni jambo la msingi katika kuboresha michango ya wabunge, kukuza uelewo wa wabunge kuhusu huduma na bidhaa zitolewazo na mashirika mbali mbali Nchini’’.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Uratibu na Bunge) Mh William Lukuvi akipata maelezo toka kwa wafanyakazi wa Tigo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu alipotembelea maonyesho ya makampuni Bungeni.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Uratibu na Bunge) Mh William Lukuvi akipata maelezo toka kwa wafanyakazi wa PSPF.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Uratibu na Bunge) Mh William Lukuvi akipata maelezo toka kwa wafanyakazi wa TTCL.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Uratibu na Bunge) Mh William Lukuvi akipata maelezo toka kwa wafanyakazi wa TTCL.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...