Mshindi walikuwa Yanga dhidi ya Simba kwa bao 4-3 kwa penati

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2013

    Si mnaona?

    Mmekubali?

    Mara zoooote Kibonde wa Yanga ni Simba!

    Yaani sisi Yanga tunaafunga Simba hadi kwenye Timu za Mabungeni, huko nje kwenye nchi mbalimbali kwa Madiaspora mara zote Yanga tunawafunga Simba!

    Nina uhakika hata kama tukikutanisha Timu za Wavuvi au Mateja wa Yanga watawafunga wa Simba!

    Kama hamuamini mnipigie simu mimi Mwana Yanga No.1 na Mwana CCM kamili Sele Chinga niwaeleze 0754-946060

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 08, 2013

    Duhhh!

    Simba Kibonde wa Yanga hadi kwenye Timu Maalum kama hizi!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 08, 2013

    Simba sasa mtatueleza nini hapa?

    Ni moja kwa moja zile 5-0 baada ya kuchomolewa na Tawi letu la Angola FC LIBOLO kwa mara nyingine Waheshimiwa nao wanachomoa tena!

    Naomba wana Msimbazi kuanzia hapa tuheshimiane na tusikumbushane tena yaliyopita.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...