Home
Unlabelled
mtanange wa wabunge wapenzi wa yanga na simba katika tamasha la matumaini uwanja wa Taifa leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Si mnaona?
ReplyDeleteMmekubali?
Mara zoooote Kibonde wa Yanga ni Simba!
Yaani sisi Yanga tunaafunga Simba hadi kwenye Timu za Mabungeni, huko nje kwenye nchi mbalimbali kwa Madiaspora mara zote Yanga tunawafunga Simba!
Nina uhakika hata kama tukikutanisha Timu za Wavuvi au Mateja wa Yanga watawafunga wa Simba!
Kama hamuamini mnipigie simu mimi Mwana Yanga No.1 na Mwana CCM kamili Sele Chinga niwaeleze 0754-946060
Duhhh!
ReplyDeleteSimba Kibonde wa Yanga hadi kwenye Timu Maalum kama hizi!
Simba sasa mtatueleza nini hapa?
ReplyDeleteNi moja kwa moja zile 5-0 baada ya kuchomolewa na Tawi letu la Angola FC LIBOLO kwa mara nyingine Waheshimiwa nao wanachomoa tena!
Naomba wana Msimbazi kuanzia hapa tuheshimiane na tusikumbushane tena yaliyopita.