NAIBU SPIKA  WA BUNGE JOB NDUGAI AKIFUNGA SEMINA YA  UZINDUZI WA MCHAKATOWA RIPOTI YA MAENDELEA YA BINADAMU TANZANIA  THDR UZINDUZI HUO ULIANDALIWA NA TAASISI YA UTAFITI YA MASAUALA YA KIUCHUMI NA KIJAMII ESRF ULIFANYIKA KWENYE MJINI DODOMA LEO KUTOKA KULIA  MKURUGENZI WA UNDP TANZANIA PHLIPPE POINST WA PILI KULIA NI WAZIRI WA FEDHA DR WILLIAM MGIMWA,WSA KWANZA KUSHOTO NI MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA UTAFITI WA MASUALA YA KIUCHUMI NA KIJAMII ESRF DR HOSEANA LUNOGELA NA WAZIRI WA ULINZI  SHAMSI VUAI
BAADHI YA WAJUMBE WA TAASISI YA UTAFITI YA MASUALA YAKIUCHUMI NA KIJAMII YA ESRF WALIOHUDHURIA UZINDUZI WA MCHAKATO WA RIPOTI YA MAENDELEO YA BINADAMU TAMZAMIA THDR ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA PIUS MSEKWA MJINI DODOMA LEO
WAZIRI WA ULINZI  SHAMSI NAHODHA VUAI AKIZINDUA MCHAKATO WA RIPOTI YA MAENDELEO YA BINADAMU TANZANIA  ULIANDALIWA NA TAASISI YA UTAFITI YA MASUALA YA KIUCHUMI NA KIJAMII ESRF ULIOFANYIKA MJINI DODOMA 
BAADHI YA WAJUMBE WA TAASISI YA UTAFITI YA MASUALA YAKIUCHUMI NA KIJAMII YA ESRF WALIOHUDHURIA UZINDUZI WA MCHAKATO WA RIPOTI YA MAENDELEO YA BINADAMU TAMZAMIA THDR ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA PIUS MSEKWA MJINI DODOMA LEO KUSHOTO NI KATIBU MKUU WA WIZRAYA FEDHA DKT SERVACIUS LIKWELILE.
BAADHI YA WAJUMBE WA TAASISI YA UTAFITI YA MASUALA YAKIUCHUMI NA KIJAMII YA ESRF WALIOHUDHURIA UZINDUZI WA MCHAKATO WA RIPOTI YA MAENDELEO YA BINADAMU TAMZAMIA THDR ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA PIUS MSEKWA MJINI DODOMA LEO
PICHA YA PAMOJA YA WABUNGE PAMOJA NA VIONGOZI WA TAASISI YA UTAFITI YA MASUALA YA KIUCHUMI NA KIJAAM  MARA BAADA YA UZINDUZI WA MCHAKATOWA RIPOTI YA MAENDELEO YA BINADAMU TANZANIA ILIYOFANYIKA MJINI DODOMA 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...