Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakilakiwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik(kushoto) muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaaam. leo jioni.Rais Kikwete amerejea nchini akitokea Warsaw Poland ambapo alihudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi Duniani na awali wiki iliyopita alikuwa nchini Srilanka kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola. Picha na Freddy Maro, Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...