Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza jana na mzazi na mwanafunzi wa shule ya sekondari Naisinyai Wilayani Simanjiro kwenye ziara yake ya kutembelea na kukagua elimu wilayani humo, Mbwilo aliwapongeza mzazi na mwanafunzi huyo wa jamii ya kifugaji kwa kuzingatia elimu.
 Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo akizungumza jana na wakazi wa Kata ya Mirerani, Wilayani Simanjiro, kwenye ziara yake ya kutembelea na kukagua elimu wilayani humo (kushoto) ni Diwani wa kata hiyo Justin Nyari na kulia ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Elias Ntiruhungwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...