Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Beranard Membe akiongoza mazungumuzo ya Raia Pacha alipokua akiongea na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly na Katibu wake Amos Cherehani (hawapo pichani) wakiwemo maafisa wa Ubalozi na baadhi ya WanaDMV kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne April 8, 2014 alipokaribishwa chakula cha jioni Ubalozini hapo huku Naibu spika Mhe. Job Ndungai akiongezea mawili matatu. Chini ni Audio ya mazungumuzo hayo.

Kutoka kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe na Naibu Spika Mhe. Job Ndungai.
Mhe. Bernard Membe akiendelea kuezelea swala la uraia pacha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Uraia pacha ni muhimu kwa diaspora waliona uhusiano na utanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...