Msanii wa muziki wa bongofleva (pichani enzi za uhai wake )Ahmed Ally Upete ambaye pia alitambulika kwa jina la kisanii  kama Geez Mabovu,emefariki Dunia mnamo majira ya saa moja usiku wa leo,taarifa zinaeleza kuwa Geez amekutwa na umauti nyumbani kwao mjini Iringa.Taarifa kamili tutawaletea kadiri ya zitakavyokuwa zikiingia,MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu ndiye Ahmed Ally? Mungu amlaze anapostahiki, aamin.

    ReplyDelete
  2. Inna lillah wainna ilayhi rajiuun, mungu akufutie dhambi zako. hio cross na Ahmed Ali havilingani..... kama jina na imani viko sawa basi mungu akupe malazi ya salama....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...