Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph
Butiku akizungumza katika
Mkutano wakujadili Amani hapa nchini ulioandaliwa na Tasisi ya Mwalimu Nyerere leo jijjini Dar es
Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Dk Salim Ahmed Salim akizungumza katika Mkutano wa Amani
ulioandaliwa na Tasisi ya Mwalimu Nyerere leo jijjini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa akiteta
jambo na Mwenyekiti wa chama cha Wananchi Taifa (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na kushoto
ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi Taifa, James Mbatia wakiwa kwenye
mkutano wa Amani ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere uliofanyika katika
ukumbi wa Mwalimu nyerere leo jijini Dar es Salaam.Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...