Kikosi
cha Usalama barabarani kimesema sheria zilizopitwa na wakati zimetajwa
kuwa chanzo cha ajari za barabarani nchini hivyo zinatakiwa zifanyiwe
marekebisho.
Mkuu wa Usalama barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Marison Mwakyoma alipokutana na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA) ili kujadili mapendekezo ya mabadiliko na maboresho ya sheria ya usalama barabarani ya mwaka 1973. Amesema sheria ya usalama barabarani ilitungwa mwaka 1973na kufanyiwa marekebisho mwaka 2002 ambayo ni ya muda mrefu ukilinganisha na mabadiliko yaliyopo ikiwemo magari kuongezeka pamoja na watu.
Mwakyoma alisema sheria ya mwaka 1973 ikibadilishwa itaweza kupunguza ajali za barabarani alitolea mfano ukisoma sheria ya kufunga mkanda hakuna sheria haijamzungumzia abiria kama afunge mkanda na haimlazimishi imuadhibu kwa sheria gani.

Pia
kwa upande wa magari madogo sheria inasema anayetakiwa kufunga mkanda
ni dereva na abiria aliyepanda mbele lakini aliyepanda nyuma haionyeshi
kwenye sheria anatakiwa afunge mkanda Mwakyoma alisema abiria wanaopanda
basi ambalo limejaa bado wanaengia kusimama hakuna sheria inaonyesha
yule aliyesimama adhibiwe.
Hivyo sheria hiyo ikirekebishwa na kuwekwa adhabu inayoendana na kosa husika watu wataogopa kuvunja sheria za usalama barabarani na itasaidia kupunguza ajari zinazoendelea kutokea. Mwanasheria wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA),Isabella Nchimbi alisema utafiti waliofanya walibaini kuwa mapungufu katika sheria ya usalama barabarani vinavyosababisha ajali nyingi ikiwemo dereva kutumia simu ya mkononi wakati anaendesha gari akiwa barabarani. Mapungufu mengine uvaaji wa kofia ngumu kwa dereva na abiria wa pikipiki,uvaaji wa mikanda wakati ukiwa kwenye gari,kuendesha mwendo kasi na matumizi ya uvukaji kwenye vivuko .

Mkuu
wa Usalama barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda Marison
Mwakyoma akiongea na washiriki katika semeina ya kujadili sheria za
usalama barabarani
Mwanasheria wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA), Bi Isabella Nchimbi akiwasilisha hutuba ya ya mapendekezo ya mabadiliko ya sheria za usalama barabarani.
Picha ya pamoja

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...