Aliyewahi
kuwa Mbunge wa Monduli na Mkuu wa wilaya Mstaafu, Luteni Mstaafu Lepilal
Ole Molloimet aliyefariki Dunia Jumapili iliyopita,anatarajiwa kuzikwa
kesho Ijumaa mjini Longido.Kwa mujibu wa msemaji wa familia Mh.
Christopher Ole Sendeka, Luten Molloimet amefariki dunia kwa ugonjwa wa
shinikizo la damu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...