KUZALIWA 30/12/1935     KIFO 22/11/2004
Umetimiza miaka kumi na nne tangu ulipoiaga dunia Novemba 22, 2004 Baba yetu,Rafiki yetu,Mshauri wetu na Mpendwa wetu. Pamoja na kwamba hatupo nawe kimwili, busara na miongozo yako bado tunaiishi hasa ile ya kupendana kama ulivyotupenda sisi. Tunatazamia kwa hamu wakati Mungu atakapotimiza ahadi yake ya kufufua wafu siku isiyojulikana
Unakumbukwa sana na sisi wanao, JANE, FESTO, EUGENIA, ELIZABETH, CECILIA NA THADEI, Dada yako mpendwa SR.DEVOTHA KWEKA C.D.K wana – kata wote wa Narumu,ukoo wote wa Kweka, ndugu, jamaa na Marafiki wote.
“Raha ya milele Umpe Eee Bwana na 
Mwanga wa milele 
Umwangazie apumzike kwa amani
AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...