Si wengine ni ile bendi maarufu ya muziki wa
dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni ,inayoongozwa na
mwanamuziki Kamanda Ras makunja wenye makao yao nchini Ujerumani,bendi
hiyo iliyojizolea umarufu kila kona barani ulaya na kufanikiwa kuteka
washabiki kwa kutumia muziki wao wa dansi wa bongo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...