Mfanyabiashara ndogondogo wa Makanyagio, wilayani Mpanda, Gilau Bruno   amekabidhiwa zawadi yake ya sh milioni 5 alizoshinda kutoka kwenye bahati nasibu ya Biko droo ya 183 iliyochezeshwa jumatano iliyopita kwa mkazi huyo kupokea fedha zake tayari kuziingiza kwenye matumizi yake ya kawaida ya kimaisha. Mamilioni mengine ya Biko yanaendelea kutoka kila Jumatano na Jumapili bila kusahau zawadi za papo kwa hapo zinazotoka kila dakika moja.  Picha na mpigapicha wetu. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...