Miss Tanzania 2018 ambaye pia mi balozi wa mbio za Selou marathon,Queen Elizabeth Makune akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani  leo jijini Dar es Salaam kuhusu Watanzania kujitokeza kwa wingi katika mashindano ya Selou marathon yatakayo fanyika Agosti 24 mwaka huu mkoani Morogoro.
Meneja wa Huduma za Utalii, Bodi ya Utalii Nchini,Joseph Sendwa (ktikati) akizungumza na waandishi wa habari wapo pichani leo jijini Dar es Salaam, ambapo amewaomba watanzania kuvitunza vivutio kwa njia mbalimbali ndani na nje ya Nchi.kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Maandalizi ya Selou marathon,Imani Kajula, kushoto Miss Tanzania 2018 ambaye pia ni balozi wa mbio za Selou marathon,Queen Elizabeth Makune.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

 picha ya pamoja 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...