Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Vedastus Fabian (kushoto) akiwasikiliza Maafisa Naomi Mbilinyi na Gladston Mlay (kulia), kutoka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), katika maonesho yanayokwenda sambamba na Jukwaa la Pili la Kimataifa la Usafiri wa Anga linalofanyika kwa siku mbili mfululizo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC). 
 Dkt Bartholomew Rufunjo (kulia) leo akipata maelezo mbalimbali kuhusiana na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kutoka kwa Mhandisi Astelius John (kushoto), kwenye maonesho yanayokwenda sambamba na Jukwaa la Pili la Kitaifa la Usafiri wa Anga yanayofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC). Wengine pichani ni Afisa Masoko wa TAA, Pendo Mwakilasa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa VIA Aviation Ltd, Suzan Mashibe.
 Mhandisi Astelius John na Afisa Masoko, Pendo Mwakilasa wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (kushoto), leo wakiwaeleza masuala mbalimbali ya viwanja vya ndege wadau waliotembelea meza ya maonesho yanayokwenda sambamba na Jukwaa la Pili la Kitaifa la Usafiri wa Anga yanayofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...