Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Hutuba ya Uzinduzi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Hutuba ya Uzinduzi wa mpango shirikishi
wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo
katika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar.[Picha na
Ikulu.] 10/09/2019.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...