RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar(ZBC) (kulia kwa Rais)Mkurugenzi Mkuu wa ZBC.Ndg. Chande Omar Omar na Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa ZBC mnazi mmoja Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar.(ZBC) (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar.(ZBC) Ndg. Chande Omar Omar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, mkutano huom umefanyika katika ukumbi wa ZBC mnazi mmoja Zanzibar.
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizungumza kamla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wafanyakazi wa (ZBC ) katika ukumbi wa Shirika hilo.
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar(ZBC) Ndg. Chande Omar.Omar, akizungumza wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar kuzungumza na Wafanyakazi wa Shirika hilo uliofanyika katika ukumbi wa ZBC TV mnazi mmoja.(Picha na Ikulu)
MFANYAKAZI wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Ndg. Juma Mmanga akichangia wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa ZBC mnazi mmoja
MFANYAKAZI wa Shirika la Utangazaji Zanzibar Bi. Faida Daud akizungumza wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa ZBC TV mnazi mmoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...