Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu pamoja na Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe aliofuatana nao siku ya Jumanne Novemba 5, 2019.
Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu akiwa na Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa na Watumishi wa Umma katika Ubalozi huo  siku ya Jumanne Novemba 5, 2019.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Balozi Masilingi na maafisa wa ubalozi. Useless people. Hakuna hata wanachofanya hawa. Ukitaka tu kubadilisha pasipoti basi ukiritimba ni ule ule utafikiri upo Tanzania. Watanzania sisi yaani ni kama vile tumerogwa. Yaani ni afadhali tu ufunge safari uje ubadilishie pasipoti nyumbani kuliko kwa hawa wasela

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...