Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wapokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kuhusu utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hiyo kwa kipindi cha Julai-Disemba, 2019 leo tarehe 20 Januari, 2020 katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas D. Ndumbaro (wa kwanza kulia),  akiwa ameambatana na uongozi wa juu wa Wizara hiyo tayari kujibu hoja za kamati, leo Januari 2020 katika viwanja vya Bunge, Jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...