Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Zambia na Mwenyekiti wa Bodi Kampuni ya Bomba la Mafuta kati ya Tanzania na Zambia, Ndg. Trevor  Kaunda alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Zambia na Mwenyekiti wa Bodi Kampuni ya Bomba la Mafuta kati ya Tanzania na Zambia, Ndg. Trevor  Kaunda alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Bodi na Menejiment ya Kampuni ya Mafuta ya Tanzania na Zambia ilipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Zambia na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bomba la Mafuta kati ya Tanzania na Zambia, Ndg. Trevor Kaunda
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (watatu kulia) katika picha ya pamoja na Bodi na Menejimenti ya Kampuni ya Bomba la Mafuta kati ya Tanzania na Zambia, iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Zambia Ndg. Trevor Kaunda (katikati) Bungeni Jijini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...