Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuzindua Tuzo ya Kimataifa ya Quran Tukufu kwa Mwaka 2020 iliyofanyika Januari 18,2020 katika Ukumbi wa Johari Rotana Hotel Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunuku Shahada ya Pongezi kwa kuhifadhi na kutunukiwa Ijaza ya Quran kwa Riwaya ya Hafsi Mshindi wa kuhifadhi Quran Duniani Mwaka 2019 Zakaria Sheha Ally kutoka Kisiwani Pemba Wakati wa Uzinduzi wa Tuzo ya Kimataifa ya Quran Tukufu kwa Mwaka 2020 iliyofanyika Januari 18,2020 katika Ukumbi wa Johari Rotana Hotel Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunuku Shahada ya Pongezi kwa kuhifadhi na kutunukiwa Ijaza ya Quran kwa Riwaya ya Hafsi Ismail Ally Juma  Wakati wa Uzinduzi wa Tuzo ya Kimataifa ya Quran Tukufu kwa Mwaka 2020 iliyofanyika Januari 18,2020 katika Ukumbi wa Johari Rotana Hotel Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohammed Gharib Bilal walipokutana katika hafla ya Chakula cha Jioni kwa ajili ya Uzinduzi wa Tuzo ya Kimataifa ya Quran Tukufu kwa Mwaka 2020 iliyofanyika Januari 18,2020 katika Ukumbi wa Johari Rotana Hotel Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kuzungumza na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Hamid Masoud Jongo katika hafla ya Chakula cha Jioni kwa ajili ya Uzinduzi wa Tuzo ya Kimataifa ya Quran Tukufu kwa Mwaka 2020 iliyofanyika Januari 18,2020 katika Ukumbi wa Johari Rotana Hotel Jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam katika hafla ya Chakula cha Jioni kwa ajili ya Uzinduzi wa Tuzo ya Kimataifa ya Quran Tukufu kwa Mwaka 2020 iliyofanyika Januari 18,2020 katika Ukumbi wa Johari Rotana Hotel Jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...