Mwenyekiti wa EAPCCO ambaye pia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro leo 17/01/2020 Jijini Dodoma, amekutana na Ujumbe kutoka Umoja wa Nchi za Ulaya kwa lengo la kuzungumzia pamoja na mambo mengine, Mradi unaofadhili mafunzo ya kuwajengea uwezo wasimamizi wa sheria katika nchi zilizopo Pembe ya Afrika hususani kwenye masuala ya upelelezi . Picha na Jeshi la Polisi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...