Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akitazama masalia ya  Tembo na Nyati baada ya kupata maelezo kwa ufupi kutoka Muhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire Bi. Neema Mollel ( hayupo pichani) wakati alipoongoza wajumbe wa Maadhimisho ya Miaka 40 ya Umoja wa Posta Afrika kutoka katika nchi 45 za umoja huo walipotembelea hifadhi ya Taifa ya Tarangire jana Januari 19/2019.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akipokea maelezo kuhusu masalia ya  Tembo na Nyati kutoka kwa Muhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire Bi. Neema Mollel wakati alipoongoza wajumbe wa Maadhimisho ya Miaka 40 ya Umoja wa Posta Afrika kutoka katika nchi 45 za umoja huo walipotembelea hifadhi ya Taifa ya Tarangire jana Januari 19,/2019.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...