Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akipunga  mkono kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi (haonekani pichani) wakati akikabidhi kiasi cha shilingi milioni 300 kwa serikali ya Mapinduzi Zanzibar zilizotolewa na kampuni ya Vodacom leo ili kupambana na kudhibiti ongezeko la virusi vya Corona visiwani humo, ambapo walifanya makabidhiano kwa njia ya mtandao. Pembeni ni Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Shaaban Seif Mohammed wanaonekana kwenye Skrini wakiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia wakati Taasisi ya  Vodacom Tanzania Foundation walipokabidhi kiasi cha shilingi milioni 300 kwa serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo ili kupambana na kudhibiti ongezeko la virusi vya Corona visiwani humo. Makabidhiano hayo yalifanyika kwa njia ya mtandao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...