Mbunge wa Jimbo la Kawe,Askofu Josephat Gwajima akizungumza na wananchi wa mtaa wa Mbopo na Madale kata ya Mabwepande  wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam leo katika mkutano wakusiliza kero na kuhamasisha maendeleo ambapo amewaahidi wananchi kushirikiana nao iliwapate kivuko cha muda kwenye  Mto Nyakasangwa wakiwa wanasubiri fungu kutoka serikalini la kutengezeweza daraja la kudumu.(Picha zote  Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)Mbunge wa Jimbo la Kawe,Askofu Josephat Gwajima (Mwenye kofia,) akiwasikiliza wananchi wa mtaa wa Mbopo na Madale baada ya mkutano kumalizika, kulia ni Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa Mbopo, Mohamed Bushir.    Mkutano ukiendeleaMbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima akiwasiliza wananchi wa mtaa wa Mbopo na Madale baada ya mkutano kumalizika wa pili kushoto  ni Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa Mbopo,Mohamed Bushir.Mbunge wa Jimbo la Kawe,Askofu Josephat Gwajima (Mwenye kofia) akiwa ameongozana na viogozi wa Mtaa wa Mbopo na Madale akivuka mto Nyakasangwa. (Picha zote  Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv.)Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa Mbopo, Mohamed Bushir  (watatu  kushoto). Akiwa katika picha pamoja na wananchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...