RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia muktasari wa taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha, ikiwasilishwa na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Ndg.Amour Hamil Bakar, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais alilyoyatoka kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu) 

WAKUU wa Idara na Taasisi za Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, wakifuatilia taarifa ya utekelezaji wa Maagizo ya Rais aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu, ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Ndg.Amour Hamil Bakar, wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliani na Uchukuzi Zanzibar, wakati wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...