Home
Unlabelled
mtanzania halisi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,
ReplyDeleteUna maana hii ndo National Dress ya akina mama Tanzania siku hizi?
Si mbaya.
naaaam! waionaje Chemi, wewe ingekukaa kweli! well, ukweli hakuna makubaliano rasmi, ila kulikuwa na aina fulani ya shindano kutafuta mtindo wa taifa, huo ukashinda, ingawa kitambaa hakikuwa na rangi hiyo.
ReplyDeleteOkay, nakumbuka TAMWA waliwahi kufanya mashindano na ilishinda design nyingine. Nilishona hiyo staili.
ReplyDeleteLakini maisha ya USA, tako imeongezeka sketi yake hainitoshi tena!
Michuzi, nimekubali. Mavazi tunayo. Tatizo ni kuwa hatujiamini na vitu vyetu. Tazama mwenyewe ubunifu-mtindo wa Kiafrika kisha niambie.
ReplyDeleteHalafu: kuhusu vazi la taifa. Hebu tupe vizuri juu ya hili.
kha chemi! hiyo ni kali! punguza kula keki!!!!
ReplyDeleteSiyo vazi tu hata uzuri unachangia
ReplyDeletehuyu mwana mama vazi limeongezea lakini yeye mwenyewe wamo.
Si matani, nguo imemkaa, ila she looks like in her late thirties, wakati ni mtoto wa late seventies tu. Mavazi yanazeesha kiaina
ReplyDeletejamani kwa kweli vazi limetulia ila inabidi tuangalie sana haya mavazi yasiposhonwa vizuri unaweza kimbiza watu njiani.
ReplyDeletejamani kwa kweli vazi limetulia ila inabidi tuangalie sana haya mavazi yasiposhonwa vizuri unaweza kimbiza watu njiani.
ReplyDeleteNam, hakika ni njema. Staha ya mwanamke wa Kiafrika anayejiamini na kujithamini ipo hapa. Hakuna haja ya kuonesha makwapa na mabega!!!!Lakini kakosea moja, hili wigi wapi na wapi? Kwanini hakuacha nywele zake zimrembe tusifie kazi ya Mungu? Namis ile mitindo ya ususi wa nywele ya miaka ile kabla Tanzania haijavamiwa na wadudu. Mitindo kama Mlima Kilimanjaro, Twende Kilioni, n.k......Wadau mnaweza ongeza orodha hii. Hakika tunapaswa kuurejea utu na thamani yetu upyaaa!!!!!
ReplyDelete