Asaalam, Ndugu na Jamaa wote.

Kama tujuavyo- siku ya Jumatatu tarehe mosi November 06, 2006 itakuwa kukamiliswa kwa siku 40 toka ndugu zetu Walter Mazula na Vonetha Nkya watutoke hapa ulimwenguni.

Kwa sababu ya nafasi za kila mtu ili uweze kujumuika na kukamilisha Ibada [ "HITMA"] kwa marehemu wote, tumeamuwa kusoma hiyo ibada siku ya Jumamosi Tarehe 4, mwezi huu wa November- saa 5.00p.m. jioni huko Nyumbani kwa mwenyekiti [ Ayub Mfinanga-22255 Hessel st.]


Tunapenda Kuwatangazia wale wote watakaokuja, Kufika mapema kwa wakati kamili bila ya kuchelewa. Ibada itaanza saa kumi na moja na nusu[5.30pm.] N a Mchungaji hatapenda kuona watu wanaingia katikati ya sala hiyo.


Snacks and Soft Refreshments will be served there after.

Again Saturday the 4th at 5.00p.m. sharp.



"MAY GOD REST THEIR SOUL IN ENTERNAL PEACE- AMEN"

Ahsante sana.
TAMI president. Mr. Mfinanga.
586-354-5479.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. habari, samahani wanablog wote, mimi ni mgeni kidogo kwenye hii blog. sasa namuomba bwana michuzi aniwekee picha ya huyo Cynthia, maana namsikia sana kwenye hii blog, ni mtu maharufu sio. ni nani huyo? na anashughuli gani? samahani kwa kwenda nje ya topic. thank you

    ReplyDelete
  2. Mungu awarehemu kwa kutuacha!

    Kwa watanzania wenzangu, imebainika kuwa katika ajali ya ndege huko Nigeria, Tanzania imewapoteza madaktari wake wawili:
    Madokta Nakijwa Kanyika wa Hospitali ya Morogoro na mwenzake Moshi Luhiso kutoka Hospitali ya Makandana.

    Tuwakumbuke pia!

    ReplyDelete
  3. Anonymous wa Tuesday, October 31, 2006 3:37:46 PM, nina kiuno cha nyiguna mwendo wa twiga!

    ReplyDelete
  4. Ndugu Mfinanga

    Tunakumbuka mchango wako mkubwa uliotoa ktk kusafirisha miili ya hao marehemu. Kitu ambacho naona hakina uweano na huu mualiko wako ni kama ifuatavyo, kwanza unafanya arobaini nyumbani kwako na unamlete mchungani nyumbani kwako na wakati wewe in Muislamu? Pili unawafanyia arobaini marehemu wakati walikuwa wakristo! kitu ambacho wakristo hawana arobani. Cha mwisho unafanya eti ”HITMA!”wakati wazazi wa pande zote mbili za marehemu walikwinshafanya misa wiki moja na nusu iliyopita pale Dar, Don bosco na kufunga msiba. HUU MSIBA ISIWE KUFA KUFAANA!!

    ReplyDelete
  5. Watu wenye udini utawajua tu sijui wakoje? Kwani wakifanya hitma nini kitaharibika jamani kama kila mtu atendelea tu na dini yake baada yaq hilo tendo. Watu kwa complicate mambo tu hamjambo.

    ReplyDelete
  6. "Kama tujuavyo- siku ya Jumatatu tarehe mosi November 06, 2006"

    Hii tarehe mimi hata siielewi. Sijui ni Mosi Novemba au November 6. Naona hapa Kiswahili kimenipiga lugha kwa kweli.

    ReplyDelete
  7. Na hamsini je? Tutajulishwa?

    ReplyDelete
  8. Hivi kuna progress katika kutafuta wauaji wao? Je, serikali/ubalozi inafutalia hiyo suala? Mkitaka progress fanya kama yule mama aliyepoteza mtoto Aruba!

    ReplyDelete
  9. HEBU TOKENI HAPA, MMEANZA TENA, TANGAZO HILI NI KUHUSU MAREHEMU WALTER NA VONETHA.....SASA MMEANZA MAKUSUDI KUULIZA KUHUSU -CINTHYA MASASI- ALITOKA SANA HAPA KWENYE BLOG YEYE NI MODEL WA NGONO, NA NI ACCESORY TO MURDER. ACHENI UJINGA HAPA.
    NI KAMA HUYU -SHENA SINARE- ALIPOTUMIA PIA CHANCE YA MATANGAZO YA MSIBA HUU HUU WA WALTER NA VONETHA, KUINGIA HAPA JAMVINI NA KUTUMA RAFIKI ZAKE KUTANGAZA KUWA PETER RUPIA AMEMTISHIA KUMUUA. WAKATI WAKAJITOKEZA WANAOMFAHAMU NA KUMWAGA UKWELI KUWA YEYE MWENYEWE SHENA SINARE NDIO ALIKUWA AKITIA MKWALA WA KUJIUA MARA KWA MARA MAANA PETER RUPIA ALIMTOSA, KWA SABABU YA TABIA ZAKE. MSICHANA MZURI LAKINI KICHWANI NI MAJI MATUPU. KWELI WA KINA DADA UZURI WA MWANAMKE SIO SURA TU. ILA NA TABIA INACHANGIA HUSUSANI KWA SISI WANAUME TUNAPENDA WANAWAKE WENYE TABIA NJEMA, HESHIMA NA SIO UKUDA TU. HALAFU AKIWA BOMBA PIA SURA NZURI NA SHEPU MASHALLAH, BASI TOP GEAR ANAFAA.
    KWA HIYO BWANA MSIANZE HAPA, WEWE ANONY ULIYEANZA KUMUULIZIA CINTHYA NAONA UNATAKA KUANZISHA BALAA HAPA.......

    ReplyDelete
  10. Michuzi lazima atabandika picha ya Cynthia ka grisi matako yake.

    ReplyDelete
  11. HAYA SASA TOPIKI ZINAHAMA TARATIBU. NAOMBA KUTOA MAONI YA UHAKIKA KUWA KWELI INASEMEKANA PETER ALIAHIDI KUMUOA SHENA SINARE, HALAFU HAKUMUOA MTOTO WA WATU HAKUIONA HATA ENGAGEMENT RING. ALIENDA KUMTIA MPAKA BAGAMOYO WAKALALA HOTELINI, KIJANA MUONGO SANA HUYU, HE WAS JUST USING SHENA SINARE FOR SEX AND FOR HER TO COOK FOR HIM, SHE SAID PETER CAN EAT LIKE A ZEBRA (PUNDA MILIA) GIRLFRIEND WAKE ALIPOKUJA TOKA ULAYA AKAM-DUMP, SHENA, SHENA ANAJUA BAADHI YA SIRI ZAKE AKAANZA KUZITANGAZA BASI NDIO PETER AKAMTISHIA KUMUUA.

    ReplyDelete
  12. Nina matako laini kama...

    ReplyDelete
  13. Nina picha safi sana ya matako yangu yaliyopakwa grisi. Nimevaa thongu hivyo butt cheeks zinawachekelea.

    ReplyDelete
  14. Nimekata nywele za...kusudi thong ibane vizuri!

    ReplyDelete
  15. HAO AKINA SANARE NDIVYO WALIVYO WATOTO WANAPENDA MBOO KWA KWENDA MBELE.HATA DADA YAKE SHENA AMEACHANA NA MUMEWE NA KUPRA MUME WA MTU AMBAYE NI PROFESSOR CHUO KIKUU DSM NA SASA ANAKAA NAYE,KWA HIYO HILI SWALA LIKO KIUKOO,HATA MAMA YAO ANAJITAHIDI KUWA MSICHANA ANAJIKONDESHA ILI APATE DOGODOGO ALIACHANA NA BABA YAO SIJUI WAMESHARUDIANA AU VIPI.

    ReplyDelete
  16. WABONGO WENGI NI MBUMBUMBU HAWANA UBAVU WA KUKATAA KUJIUNGA LAZIMA TUWATOMBE SANA KWENYE HUU MUUNGANO HAYA MAJAMAA MA TZ YANA ARDHI NZURI SASA SISI WAKENYA ARDHI YETU IMEKWISHA KWA NINI TUSIYANYANG`ANYE HAYA MA BUZI? YAMEZUBAA NA DAWA YAO NI KUONGEA KINGEREZA TU MAOGA SANA YANAKIMBIA YAKISIKIA TUNAONGEA KINGEREZA HATA RAIS WAO KWENYE KIKAO DAWA YAKE NI KUONGEA KINGEREZA ANA SIGN KILA KITU. WANYARWANDA LAZIMA TUWE KITU KIMOYA JUU HAYA MAJAMAA HAYAJA SOMA SANA TUTA YANYONYA KAMA TULIVYO FANYA WAKATI WA AFRICA MASHARIKI KIPINDI CHA YULE NYERERE. NDUGU ZANGU WAKENYA MLIO BONGO MSIKUBALI KUACHIA NGAZI HUKO ANZENI KUCHUKUA VIWANJA MAPEMA KAMA NI KIGAMBONI AMA CHALINZE CHUKUA UNACHO PATA WAKATI NDIO HUU, WATUSI HAKIKISHENI BIASHARA ZOTE TOKA MADINI HADI UTALII MNAUCHUKUA KUTOKA WA RIVALS WETU SOUTH AFRICANS HUU NI WAKATI WETU KUYANYONYA HAYA MAJAMAA HAYAJUI KITU NI ZERO KABISA....MUNGU IBARIKA KENYA NA RWANDA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUIRARUA TANGANYIKA!! ASANTE MSAMI KWA KUTAMBUA UKWELI WA NCHI YAKO YA TANZANIA

    ReplyDelete
  17. wewe mike hapo juu
    una laana,
    na usipo jirekebisha, haya manene uliyosema hapo juu, ndio yatafanyiwa kwako na familia yako. Tanzania kuwa na amani na upendo sio bure, because for He who is in us, is greater than you!!

    ReplyDelete
  18. Mhhh kweli unaambiwa ishi ujione mambo, haya tangazo la arobaini limekuwa hivi tena, tutajionea mengi huku jinsi watu walivyo na akili zao binafsi, na kujiexpose huku, michuzi unakazi ndugu yangu kuongoza vichwa hivi ndio maana Mh J K Nyerere alisema kukaa ikulu ni mzogo kwa sababu hivi ndio vichwa unavyoviongoza kila siku
    pEACE

    ReplyDelete
  19. Usione ajabu kuona tangazo la arobaini hata kama ndugu wa marehemu kule Tanzania hawakupanga kuwa na arobaini. Sio wote tulio viwanjani majuu tunang'amua hayo kwani sie wajanja ndio tuliwawo. Mjanja kawahi na kupata.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...