niko na mo ibrahim leo hoteli ya grand regency, nairobi. ifuatayo ni picha kamili ya nini kinaendelea, baada ya uzinduzi rasmi wa barani afrika, kufuatia ule wa dunia kule london oktoba 26.


Responsible political leadership in Africa will soon pay the prize it deserves, a Sudanese-born business tycoon, Mo Ibrahim, announced today.

Mr Ibrahim, who has attained British citizenship, is the founder and chairman of Celtel International mobile phone group in sub-Saharan Africa. His new prize will pay hefty sums to Africa's most excellent non-corrupt political leaders.

Dubbed the Mo Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership, the prize awards the laureate $US 5 million for ten years, starting next year. After ten years, $US 200, 000 will be awarded annually for life.

Besides, an additional US$ 200,000 per annum will be made available for causes espoused by an African leader who demonstrates excellence in political leadership. It is funded with an estimated US$ 100 million.

"Nothing is more important to African development than good governance," 'Universial Press International' quoted Mr Ibrahim as saying today. "The foundation will aim to change fundamentally the choices faced by African leaders, and as a result, recast the terms of the governance debate."

Mr Ibrahim's initiative, which is first of its kind in Africa, will encourage African leaders to demonstrate political excellence. Notable world leaders, including UN Secretary General Kofi Annan, British Prime Minister Tony Blair and former Presidents of America and South Africa, hailed the initiative and described it as second-to-none.

Mr Blair said the foundation's aims are in tandem with his goals of encouraging exemplary leadership in Africa.

Mr Ibrahim can certainly afford the enormous amount invested in the prize - giving it a size that would be able to make a difference. His firm attracts seven million customers in Africa and employed 3,500 staff. He sold it last year for US$ 3.4 billion to KWT.

"The prize will bring the issue of good governance and effective leadership into debate," Mr Ibrahim noted. "This is an African effort, with African money, from African private citizens."

Candidates were to be chosen based largely, though not completely, on the Mo Ibrahim Index of Governance in Africa, a new country-by-country ranking of effective leadership in sub-Saharan Africa developed by Robert Rotberg of Harvard University's Kennedy School of Government.

"This is a brand-new ranking system," Mr Rotberg said. "Nothing like this has ever been done to measure African governments."

"Nothing, simply nothing, is more important to African development than good governance," Mr Ibrahim added. He said his foundation aims to challenge fundamentally the choices faced by African leaders and as a result recast the terms of the governance debate.

"I am ashamed that we always have to look to the rest of the world for assistance. It impacts on our dignity and our self-respect. We want to celebrate the guy who managed to take his people out of poverty.

That deserves the largest prize in the world," he said, adding that billions of dollars are dashed to African countries yet they lack quality leadership.

Mr Ibrahim said when matters of life and death are concerned, five million dollars reward for good leaders is peanuts.

The award winner would be be chosen by a team of eighteen academics in collaboration with UN and other bodies. They were to be informed by the Ibrahim Index, which assesses national progress on sustainable economic development, health and education programmes, transparency and empowerment of civil society, democracy and human rights, security and the rule of law.

Mr Ibrahim said that fears of financial insecurity incite African leaders to corrupt and cling to power. "The prize will offer good people, who may be wavering, the chance to opt for the good life after office."

A non-profit making organisation, Mo Ibrahim Foundation, which is governed by a board of trustees, will run the awards.

The board includes Mr Ibrahim, Dr. Salim Ahmed Salim, former secretary general of the defunct Organisation of African Unity, and Mary Robinson, former UN high commissioner for human rights and president of Ireland

A number of leading figures such as former South African president Nelson Mandela, British Premier Tony Blair, former U.S. president Bill Clinton and United Nations Secretary-General Koffi Anan are backing the initiative.

Board members of the Mo Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership Foundation, a charity, include former Irish president Mary Robinson; World Bank Managing Director Mamphela Ramphele; Lalla Ben-Barka, deputy executive secretary of the Economic Commission for Africa and Dr. Salim Ahmed Salim.

Ibrahim sold his mobile firm, Celtel, to a Kuwaiti company for 3.4 billion dollars last year, according to information provided by the foundation -- which also notes that Celtel operates mobile networks in 15 African countries, where it has invested 750 million dollars.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Huyu jamaa anaikejeli Afrika sana.yaani anahalalisha kuwa marais wana haki ya kukaa kwenye madaraka zaidi ya muda ulioelezwa kwenye katiba na atakayekubali kusurrender haki hiyo atapata zawadi.hicho ndicho ninachoona mimi.huyu jamaa hizo pesa ni zake na ana haki ya kutumia anavyotaka ila angezitoa kusupport new african researchers katika sekta mbalimbali ingekuwa ni msaada wa kweli.ni pesa zake lakini asifanye kejeli kama iliyofanywa na UN pale Kongo kukubaliana kuwa atakayeshindwa uchaguzi atapewa mshahara mzuri na ulinzi.kwa nini viongozi wetu wanakuwa kama WATOTO???!!!

    ReplyDelete
  2. Kati ya mengiune, hapo awali nilitundika:

    Ni pesa zake; anaweza kuzitumia atakavyo. Je, kuna haja ya kuwazawadi viongozi wa namna hii? Kwa nini zawadi ya namna hii isitolewe kwa minajili ya kununua vyandalua kwa wananchi walala hoi wa nchi za viongozi washindi ili kupambana na ugonjwa wa malaria!

    ReplyDelete
  3. Zemarcopolo, nakuunga mkono!

    ReplyDelete
  4. kwanza kabisa hizo pesa sio zote zake ila kuna asilimia chache ndio zake. ktk ulimwemgu wetu wa biashara utakuta kundi wa wanasiasa au wafanyabiashara wanakufuata ili uwafanyie kazi kwa ajiri yao, hivyo basi inawezekana hilo shindano ni mataifa mengine yaliyo endelea yanafanya hivyo au ni moja ya pesa toka ktk kundi la wafanyabiashara.

    ReplyDelete
  5. mmhhhh....rewarding the rich, while people in your homeland are dying by the hundred everyday does not seem that wise to me...this cash that i believe all president in africa can do without can go a long way into solving the problems in darfur and that of his hunger-stricken homeland, afterall they do say charity begins at home...i dont know if this is some kind of PR move or whether this guy is 4 real, but i do know there is better use for this money then that, i dont think there is an ex-president in africa who is struggling to pay his bills....

    ReplyDelete
  6. Viongozi wababaishaji,waigizaji,watoa ahadi hewa na wenye 'empty words' kama Kikwete hawawezi kuikwaa zawadi hiyo.

    I wish Baba wa Taifa,Mwalimu Nyerere angekuwa kiongozi wa Tanzania leo....nani angesimama kupinga hastahili.Marehemu Edward Moringe Sokoine,Waziri mkuu wa aina yake ambaye tangu kifo chake hajapatikana mwingine wa aina yake.Mzee Nelson Mandela!We acha tu.....lakini hawa wababaishaji,wanaokuja Marekani na wake zao kutalii kwa hela za nchi maskini.....bado tuna safari ndefu.It is a good challenge regardless nini wamesema waliotangulia hapo juu.Inalenga kuchochea uongozi bora kwa bara zima la Afrika ikiwemo Sudan pia.Hatujui hata hivyo anaifanyia nini Sudan,tusiwe na haraka ya kukosoa kila kitu.Nampongeza bwana kwa kuona mbali.Pengine Bwana John Magufuli anaweza kukwaa zawadi hiyo akiendelea kuwa free from corruption.

    ReplyDelete
  7. Michuzi nimekukubali persanlity inaongezeka kila siku!!

    ReplyDelete
  8. Anony 9:11, I think ur statement about magufuli is a bit bold and confident....are u sure you know what you are talking about, or maybe you meant to say he "appears to be corruption free" you maybe suprised how quickly your mindset may change...there are no saints in the government....and it the higher up you go the worst it becomes...

    ReplyDelete
  9. Sasa hii imekuwa blog ya picture au maneno?
    Maana siku hizi maneno yanazidi kuliko picha Michuzi.

    ReplyDelete
  10. NA KWELI MANENO MLOLONGOOOOOOO AAAAAH MICHUZI UNATUANGUSHA BWANA GAZETI ZIMA.
    LAKINI DUH! UMETOKA ILE MBAYA NA HIYO SUTI NA TAI WWWEEEEEE BWANA WEEEE HII SUTI LAZIMA IMESHUKA KWENYE NDEGE, SIO YA KUSHONA HII. YOU LOOK COOL DUDE.

    ReplyDelete
  11. Zemarcopolo nakubaliana na wewe. Huyu jamaa sijui ni kitu gani hapo kafikiria ati zawadi kwa rais, upuuzi mtupu. Na hizo pesa wala si zake bali ni wizi ambao wamefanya kwa kutuulia mashirika kama TTCL nani amesahau uharamia waliofanya Celtel? Anachofanya hapa ni kuwazawadia watawala wa Kiafrika waliomwezesha kujipatia ugenishaji wa bwerere kwenye nchi hizo

    ReplyDelete
  12. michuzi hiyo suti tunaweza kununua wapi na ni bei gani?

    ReplyDelete
  13. Let the guy renumerate good practice, may be its the beginning of something very special. He is an african and probably better placed to know africa problems. This is a top down and not bottom up approach of his project. He, at one point called himself a marxist! guys its worth taking a closer look of this whole idea. lets just try to avoid negativity.



    I'M THE VICTIM OF MY OWN MAKING

    ReplyDelete
  14. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  15. Pakamcheshi naomba hili swala tuliangalie vizuri.kwa sababu sio ishu ya negativity kama ulivyosema ila ni uhalisia wa mambo.kama mwafrika Mo Ibra tunamtarajia kuelewa vizuri matatizo ya afrika ila njia hii aliyoitumia ni sawa na mtu anayeenda mlangoni kwa mjomba wake anagonga hodi halafu huku akisema IWAPO UTATOKA UMEVAA NGUO(UMEJISITIRI) BASI NITAKUPA ZAWADI.tunarudi palepale kwamba pesa ni zake na anaonekana kujaribu kufanya kitu,ila anaonekana kuelemea zaidi kwenye kujenga popularity yake kuliko kusaidia.ninachokishangaa mimi ni kwamba hao "wajomba" mbona hawalalamiki baada ya kuambiwa wakitoka na nguo watapewa zawadi!!hii sielewi...

    ReplyDelete
  16. Hii inathibitisha kwamba viongozi wa Afrika bado ni vijibwa, hawana uwezo wa kujituma, hawana uchungu na nchi wanazo "ongoza" Ni aibu kubwa sana kwamba watu weusi hawajiwezi mpaka leo hii, miaka mingi baada ya utumwa. Huyu mwarabu anataka tu umaarufu binafsi kwa kuwatumia watu weusi -viongozi, ambao ana prove they can be bought off. Yaani the fact kwamba wao in maRais wa nchi zetu is not incentive enough kwao ku perform to the best of their abilities?? Jamani mbona aibu tupu?? Sasa inabidi akina Kikwete waanze kujipendekeza kwake huyu ili washinde? Je nini kitazuia huyu jamaa kutaka apewe part ya nchi yetu kama anataka?? Mimi ninavyoona ni aibu tupu!! Sidhani watu kama akina Mwalimu, akina Kwame Nkrumah wange stand for this BS!!!!!! Ni utumwa, na udhalilishaji wa mtu mweusi.

    ReplyDelete
  17. Mie nafikiri wazo sio baya sana,
    sababu Afrika tuna uhaba wa viongozi wenye upeo. Lakini mie naona hii zawadi wangebadilisha, badala ya kumpa rais binafsi, wangeipa serikali inayofanya vizuri. Hivyo hata wananchi wa kawaida watanufaika hiyo zawadi. Hivi ni kweli kuwa mtu anweza akachapa kazi vizuri kwa kutaka kuwania hiyo pesa??

    Mie sitashangaa kama viongozi watakaoshinda ni wale ambao nchi zao zina amani (kama Tanzania) ambao viongozi wake hawafanyi kitu cha maana kuinua maisha ya mwananchi wa kawaida, bali vitabu vyao vya uchumi vitaonekana vizuri-mfano "economic growth" n.k.
    Mie nafikiri-wangezawadia upeo wa kiongozi ambao umesaidia kuleta mabadiliko ya ukweli mpaka kwa mwananchi wa kawaida , mfano kule Mtwara au Magu, sio pale dar es salaam tu!!

    ReplyDelete
  18. Sitaki viongozi wahongwe kutoka nje! pengine atoe zawadi kwa nchi, siyo viongozi binafsi. Na zawadi nzuri kutoka kwa wananchi kwa viongozi wazuri ni kuwazawadi kwa kura nyingi. Sitaki peer review ya NEPAD, pia. Sawa na ma-Profesa kupandishana vyeo.

    ReplyDelete
  19. the amount mentioned is quite hefty folks!pakamcheshi is liking his lips!! mmmh i wonder whose going to get the money. zemarco i say mo ibra should take another look of his project!




    I'M THE VICTIM OF MY OWN MAKING!

    ReplyDelete
  20. listen up guys,
    unajua kitu kimoja mnashindwa au mnakataa kuelewa ni kwamba, good governance ni mwanzo wa kumaliza umaskini barani africa. Kwani misaada mingi sana inatolewa lakini haifiki kwenye sehemu zinazotakiwa na inaishia kwenye mikono ya watu wachache, sasa huyu Mo Mohd anaelewa hilo ndiyo maana anahamasisha viongozi wawe na msimamo mkali katika ku-govern serikali zao na watazawadiwa in the process, i dont think it's a bad idea, ila wengi wenu naona mnashindwa kuangalia hilo.

    ReplyDelete
  21. It is a bad idea alltogether. Yaani hiyo ten percent tu waliyokula kwenye hizo jenerreta za Richmond inazidi hiyo zawadi mara kumi unategemeaje watu hawa wenye uchu, na ulafi wafikirie zawadi ambayo hata hawana uhakika kama watakuwa wao watakaopata na wakati huo huo wake zao wakiwashauri wasizubae. Tatizo la viongozi wetu ni wake zao kushindana, unamwona mama sumaye, unamwona mke wa lowasa unamwona mke wa Mkapa vitu alivyofanya hapa ndipo sasa wizi unakwenda mtindo mmoja.

    ReplyDelete
  22. jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza, the guy molested Africa, alihonga kwa viongozi wa nchi za africa kupata leseni alizotumia kuanzisha celtel networks, na aliyemtumia kufikia maraisi ni Salim Ahmed Salim akiwa katibu mkuu wa OAU miaka hiyo. Kwa hiyo, hiyo moral integrity ya kutoa zawadi ya viongozi wanaofata good governance ameitoa wapi !? aliposhindwa kupata leseni Tanzania akaingia na gia ya kununua shares TTCL ni kwa vipofu tu ndio hawajui what happened after 4 years hela zote ‘alizonunulia’ shares in TTCL ndio alizitumia kujengea celtel kwa hiyo amechukua shares TTCL for free, molested the company, left it for the dogs took his celtel kaiuza sasa with over 800m USD alizopata kiujanja anajiona he’s raised in moral latitude kuwahukumu viongozi wa kiafrika kwa hela alizozipata kwa ajili ya kuwahonga hao hao viongozi !?



    Mbeba Maboksi Mwandamizi,

    Akiwa Mapumzikoni nchini Thailand

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...