Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. the shaping of envisaged EAC should be multistrategic,however grandiose efforts should be directed to debates with local policy makers than counteracting the foreign media.

    ReplyDelete
  2. Hivi Mchuzi na wengine mnaandika swala hili mnataka nini? Nadhani misingi ya uandishi mnaweka pembeni na bila kufikiria madhara ya mambo mnayoandika iwe kwenye blogs au hata magazeti kwa usalama wa nchi.

    Mnachokifanya ni sawa na CNN ilichokuwa inafanya kutangaza habari ya katuni za Denmark zilizokuwa zinamtukana Mtume matokeo yake zikawa zina spark moto.

    HEbu tuachane na habari za watani wa jadi wamemsema hivi JK na yale na lile. Hamna haja ya kujibu japo kuna haja wote tutaonekana wajinga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...