mwandishi mwandamizi alfred ngotezi akiwa mezani kwake deili niuzi. hapo chini pana makala yake inayoendeleza mchakato wa mjadala wa jumuiya ya afrika mashariki. unakaribishwa kuchangia mjadala huo na vita ya kalamu iliyoumuka kati ya bongo na watani wake wa jadi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. nd. Ngotezi makala zako zinaonyesha una uzalendo wa dhati.kwa bahati mbaya policy makers dont seem to take them serious.labda tu nikushauri uelekeze nguvu nyingi zaidi kwenye kuwaweka sawa policy makers wetu kuliko waandishi wa Nairobi.Kwa sababu kimsingi wakenya hawatuhusu zaidi ya wazambia.waandishi wa zambia hawalumbani na waandishi wa tanzania kwa sababu policy makers hawakuwapa mwanya huo.kama tungechora maduara matatu yanayoingiliana ya waandishi wa tanzania,waandishi wa kenya na wananchi tungeona kuwa pale katikati maduara yote yanapokutana kuna policy makers.sasa tafadhali wanapaswa kuwekwa sawa,ingawa najua jinsi vichwa vyao vilivyo vigumu.

    ReplyDelete
  2. Yanga 0 Simba 0. Kwahiyo kuna kila dalili za Yanga kuwa mabingwa tena mwaka huu. YANGA HOYEE

    ReplyDelete
  3. WAJAMENI NAOMBA KUULIZA SWALI NIKIWA NA UHAKIKA KUPATA JIBU SWAFI HUSUSANI KATIKA HII BULOGU YA KIMATAIFA IMETULETEA MAENDELEO. NA HUWA WADAU HUWA WANAJITOKEZA KUTOA MAJIBU YA UHAKIKA.
    Swali:: je huyu si ndiye aliyekuwa BUZI la EDDY NYERERE? (EDLAILA) AU LAA! NA YUKO HAPA MAREKANI AKIJIITA YEYE NI MTOTO WA JULIUS NYERERE (MWALIMU) HIVI NI KWELI? MAANA WATU WAUNGWANA WENGINE WAMESEMA KUWA SIO MTOTO WA Mwalimu NYERERE ila ni mtoto wa JOSEPH NYERERE. naomba ufafanuzi na kuelimishwa wajameni, maana kwa alivyosema yeye ni mtoto wa Mwalimu Nyerere ndio hata watanzania na wakenya walijikusanya na KUMCHANGIA PESA ZA NAULI KWENDA TANZANIA KWA MAZISHI YA BABA YAKE MZAZI (MWALIMU JULIUS NYERERE) NA hivi karibuni alikuwa akikusanya mchango pia watu wamsaidie kwa kuwa mtoto wake hakuzaliwa kawaida NI TAAHIRA, kwa hiyo kwakuwa ni watu wanamheshimu sana Mwalimu Nyerere wakachanga a generous donation. Sasa kuna walakini tupeni majibu JE NI KWELI HUYU NI MTOTO WA KUZALIWA WA MWALIMU JULIUS NYERERE? Au anawatapeli watu tu hapa USA

    ReplyDelete
  4. SASA MWAMBA UKIJUA KAMA HUYU NI BUZI WA EDDY ITAKUSAIDIA NINI? UNAKUWA KAMA MALAYA BWANA, UNAFUATILIA MAISHA YA WATU KIASI HICHO?MBONA HATUSEMI KAMA WEWE NI MTOTO WA NJE NA MAMA YAKO ALI CHEAT NA DREVA WA BABA YAKO NA KUDANGANYA NI MIMBA YA MZEE WAKO FAKE? UNAFIKIRI TUNANYAMAZA HATUJUI? TULIA MWAMBA USIJIAIBISHE MKOSOE KWANZA MAMA YAKO ALIYE TEMBEA NA YULE DREVA WENU WA KIPINDI KILE, TUNAJUA SANA LAKINI WATU TUNAKAUKA AMA UNATAKA NI MWAGE ZAIDI HADHALANI? ACHA KUFUATILIA MAMBO YA WATU KAKA UNATIA AIBU...FUATILIA BABA YAKO WA HALALI AMBAYE ALIKUWA NI DREVA WENU!

    ReplyDelete
  5. WEWE UNAYEJIITA JUSTIN HAPO JUU NI WAZI WEWE AIDHA NI EDDY MWENYEWE AU NI NDUGU AU RAFIKI WA KARIBU. MAANA HUNA DATA ZOZOTE KUHUSU MAMA YANGU WALA BABA YANGU INFACT NAONA UMENIFANANISHA NA MWAMBA MWINGINE.
    SASA KAMA HAYAKUHUSU HAYA MAMBO KAA PEMBENI NDUGU INAONEKANA HUJUI MAANA YA BULOGU HII. SAWA HUYU KUWA BUZI LA EDDY NYERERE COULD BE NO MY BUSINESS. LAKIIIINI SWALI LA MUHIMU HAPA NI WAUNGWANA WATUHAKIKISHIE JE KULIKONI---NI KWELI HUYU EDDY NYERERE NI MTOTO WA MWALIMU JULIUS NYERERE AU ANATAPELI WATU HAPA MAREKANI???? NA NINA HAKI YA KUJUA HIVI KWANI MIMI NI MIONGONI WA WATU TZ COMUNITY AMBAO WALICHANGA PESA ZA KUSAIDIA MTOTO WAKE (TAAHIRA) NA PIA NIMESIKIA WATU WENGINE WALICHANGA ILI APATE NAULI YA KWENDA KWENYE MAZISHI YA SO CALLED HER DEAR FATHER MWALIMU JULIUS NYERERE. NINA HAKI YA KUULIZA SWALI NA WAUNGWANA WENGI WATANIUNGA MKONO KWANI KUNA TETESI KUWA SIO MTOTO WA JULIUS NYERERE,. HUYU EDDY NI MTOTO WA JOSEPH NYERERE. NA MICHANGO ALIYOTAPELI NA KUPATA NI KWA SABABU WATU WENGU TUMAMWESHIMU SANA MWALIMU NYERERE. SASA MHESHIMIWA MICHUZI TUNAOMBA MAJIBU. KAMA KAWAIDA KWENYE BULOGU YAKO YA KIMATAIFA HII NI YA UHAKIKA KATIKA KUPATA FACTS NA RELIABLE NEWS. ZA UHAKIKA KABISA. AHSANTE.

    ReplyDelete
  6. Wewe Justin kweli unaongea pumba hapa, naomba kukuuliza swali JE WEWE UPO HAPA USA au BONGO? maana inavyoonekana labda ni zuga tu kwa kuwa ni mshakaji wa huyu anayejiita mtoto wa Julius Nyerere (Eddy) au vipi sijui kama alivyonena ndugu Mwamba. Naomba kumsapoti ndugu Mwamba maana kweli nipo hapa USA na nafahamu hizi habari na mimi nafahamiana na huyu dada najua kabisa si mtoto wa Julius Nyerere bali ni mtoto wa Joseph Nyerere lakini hata kuna kwesheni mark aliwahi kusema mwenyewe kuwa ndugu zake wanahisi si mtoto wa Joseph Nyerere KASAKIZIWA maana mzee Joseph hakujua chochote MAMA yake EDDY alienda kumtupa mtoto pale ikulu getini (maana Mwalimu Nyerere) alikuwa akiwalea na kusomesha watoto wote wa Joseph Nyerere na walikuwa wakiishi Ikulu. Eddy akaachwa getini maaskari kumuuliza wewe nani akasema mamake kamwambia yeye baba yake ni Joseph Nyerere. Maaskari wakamchukua wakamwingiza ndani. Na kwakuwa familia ya Nyerere ni wema na wanapenda watoto wakamkubali tu. bila ya kutaka DNA test wakamlea. Mwenyewe wala hafichi aliniambia mie binafsi kuwa hataki hata kumjua mamake kwani mamake ni malaya tu hata alipokuwa anakuwa msichana alikuwa anamtafutia mabwana wa kizungu. Kwahiyo ndugu Justin usiingie hapa jamvini kunena pumba tu. Pliz get yua fakts rait.

    ReplyDelete
  7. MICHUZI BABA umeleta maendeleo, hii blog kweli ni ya uhakika ulimwengu mzima wanasoma na kama una kaswali kako wewe mwaga tu hapa lazima atajitokeza anayemfahamu muusika na kujitokeza kutoa jibu la uhakika.
    MIMI na mfahamu huyu EDDY NYERERE ana nyodo sana tu na ni MMBEA SANA ameshagombanisha watu wengi hapa Marekani na AMESUTWA sana kwa KILOMOLOMO chake, na kitu cha kusikitisha ni anavyowapata watu wajinga kujitia yeye ni mtoto wa Julius Nyerere. pia KIKUBWA CHA KUSIKITISHA NI JINSI ANAVYOWASAGIA NDUGU ZAKE WA DAMU watoto wa Joseph Nyerere kuna siku nilikuwa naye wakati wa mkakati wa kuchangisha pesa za kusaidia matibabu ya mtoto wake TAAHIRA. alikuwa akiwasema sana ndugu zake. mimi hawezi kunidanganya kwani nafahamu fika yeye sio mtoto wa Julius Nyerere. Nilisikitishwa jinsi alivyokuwa akiwasagia ndugu zake watoto wa Joseph Nyerere hasa aliyemtaja ni Neema anayeishi GENEVA alinilalamikia kuwa ati aliongea nae Neema Nyerere akamwahidi kumtumia pesa na kuwa atachangisha pia kwa ndugu wengine lakini baada ya muda akimpigia simu anamkwepa hakutuma pesa wala nini akasema kuwa ni tapeli ndio maana kaolewa na mzungu MU-ITALIAN. ambaye ni kama houseboy yupo tu nyumbani yeye kazi yake kumlisha mwanaume lakini HAPENDI KUSAIDIA NDUGU....

    ReplyDelete
  8. TOBA KAUMBULIWA HUYU DADA, HUYU EDDY NYERERE SI ALIKUWA ANAFANYA KAZI KWENYE DUKA LA VIATU? KUNA SIKU MOJA NILIKUTANA NAE NA RAFIKI YANGU ANAYEJUANA NAYE ZAMANI WALIKUWA WAKISHARE NYUMBA PAMOJA, BASI AKANIINTRODUCE "HUYU NI EDDY NYERERE" NIKAMSALIMIA KWA HESHIMA ZOTE, NIKAMUULIZA WEWE MTOTO WA JULIUS NYERERE (MWALIMU) AKASEMA "NDIO" BASI NIKAMPA POLE NIKAMWAMBIA MIMI NILIKUWA NAMPENDA SANA MWALIMU HATA BABA YANGU HE ALWAYS SAYS HE WAS A GREAT MAN, THE ONLY AFRICAN LEADER THAT NEVER MADE HIS MILLION OUT OF STEALING FROM HIS OWN COUNTRY, HIS OWN PEOPLE. AKAWA ANACHEKA CHEKA TU. PUNDE TULIPOONDOKA PALE DUKANI, RAFIKI YANGU AKANIAMBIA "OTEA NINI? SIO MTOTO WA MWALIMU NYERERE, NI MTOTO WA JOSEPH. LAKINI KILA AKIKUTANA NA WATU AKIJIINTRODUCE EDDY NYERERE, WASIOJUA WAKISEMA NI MTOTO WA MWALIMU NYERERE WEWE WALA HAWASAHIHISHI KUSEMA HAPANA NI EDDY JOSEPH NYERERE LAAA! ANAWAACHA TU WAFIKIRIE NA KUAMINI NI MTOTO WA MWALIMU NYERERE. NDIO TABIA YAKE. CHOO SANA HUYU DADA. YAANI NIMEFURAHI KUONA HIZI HABARI HAPA. KUMBE WATU WENGI WAMJUA.

    ReplyDelete
  9. PICHA MBONA NIYA MWANAUME LAKINI NYIE WANAUME WAMBEYA MMEKALIA EDDY NYERERE EDDY NYERERE BASI SIMVUE MASULUALI BASI AWATOMBE,KAMA ANATAPELI KINAWAHUSU NINI NYIE AMBAO HAMJATAPELIWA? KAMA ULITOA PESA ZA MCHANGO WA MTOTO WAKE TAAHIRA MBONA UNALOPOKA? VUA NGUO AKUTOMBE AMA KAMNYONYE MBOLO YAKE UKATULIE MAANA MATAKO YANAKUWASHENI SASA MMEKALIA KUONGEA PUMBA. SASA UKIJUA MZAZI WA EDDY NYERERE ITAKUSAIDIA NINI WAKATI UMEKWISHA CONCLUDE NI MTOTO WA NYERERE? MASHOGA BWANA UTAYAJUA KWA COMMENTS ZAO.

    ReplyDelete
  10. HAMNA CHA MASHOGA WALA NINI HAPA. WEWE makiri NI MGENI KATIKA BLOG HII? MAANA SASA WEWE NDIO UNAYEONGEA PUMBA WATU WAMEULIZA SWALI SHARTI WAJIBIWE NA KAMA UNAVYOONA MWENYEWE HII BLOG YA MHESHIMIWA MICHUZI NI YA UHAKIKA WATU WANAJITOKEZA WANAOMFAHAMU. KWANINI ATAPELI WATU? NGOJA AANIKWE HAPA. KWANINI ASISEME TU UKWELI NA KUREKEBISHA WATU WANAODHANI YEYE NI MTOTO WA JULIUS NYERERE BADALA YA KUSEMA UKWELI YEYE NI MTOTO WA JOSEPH NYERERE. ANAMINYA KIMYA KUPATA UJIKO. NUKSI HII SIO USTAARABU WATOTO WA JULIUS NYERERE WENYEWE POA WALA HAWAJITAMBI. TUNABANANA NAO TU HAPA BONGO. NA TABIA ZA HUYO EDDY ZA KUSAGIA NDUGU ZAKE WA DAMU WA JOSEPH SI NZURI. NDIO MAANA MOLA KAMLAANI KAZAA TAAHIRA. SHENZI TAIPU HUYO, HAPA BONGO ALITIWATIWA SANA MPAKA MAREALE AKAMTOSA MWISHONI AKAOPOLEWA NA FALA YULE KINTU (aliyekuwa akifanya kazi PRECISION AIR) ALIVYOKUWA NA ROHO MBAYA HUYO EDDY YEYE NDIO AKAMCHOMEA KINTU AKAFUKUZWA MAREKANI ALIPEWA MASAA 24 TO LEAVE USA. SASA YUKO FREE KUTAPELI NA KUTIWA TIWA OVYO. BONGO KUMEMSHINDA NA BILA SHAKA NI ILLIGAL IMMIGRANT SASA NDIO MAANA HAWEZI KURUDI HAPA. HILOOO TOTO LA KUTUPWA GETINI NA MAMAKE WHAT DO YOU EXPECT DUDES?

    ReplyDelete
  11. Uuuuuwiiiiiii sio mchezo, usicheze na Google Search Engine bwana, Mmmh! zinaingia na kutolewa data za uhakika humu ndani, Mheshimiwa Michuzi kama wachache wanavyokuadres, yalaaaah! kweli wewe ni mheshimiwa na umetuletea maendeleo, sio mchezo. Hii blog yako ni ya uhakika, maana bwana kila kilichonenwa hapa na waungwana waliojitokeza kujibu maswali kuhusu huyu Eddy Nyerere ni KWELI KABISA KWANI NAMFAHAMU HUYU KIMWANA.

    ReplyDelete
  12. HII BULOGU KWELI YA UHAKIKA. KILA KILICHOORODHESHWA HAPA KUHUSU HUYU EDDI NI KWELI KABISA AND THERE IS MORE.
    KAMA KWELI NI ANA UNDUGU NA KINA NYERERE ANATIA AIBU, SHE IS A REAL DISGRASE TO THE FAMILY.

    ReplyDelete
  13. she does not deserve to use that great name, she does not, honest.

    ReplyDelete
  14. KAMA NI MTOTO WA JOSEPH NYERERE BASI NI NDUGU NA MATARE NYERERE AMBAYE YUPO NA OFISI YAKE HAPA MHASIBU HOUSE. AMBAYE ALIWAHI PIA KUANIKWA HAPA KWENYE HII BLOG KWA SIFA ZAKE ZA HOVYO NA KULEMEA MIGONGONI KWA KINADADA, LAZY, CHEATER MPAKA MKEWE KAMSHINDWA, KAAMUA KUJITOA. LABDA WANA LAANA MANA HATA MICHUZI ALIMTOA MADARAKA NYERERE HAPA WIKI ZILIZOPITA NA WAKAINGIA WATU KUMSEMA VIBAYA PIA KUWA MKEWE ALIMSHINDA PIA AKAMKIMBIA NA WATOTO WAO WOTE ANAISHI MAREKANI SASA NA MAISHA YAKE POA SANA. MADARAKA KAHAMIA BUTIAMA. LAKINI MBONA HATUMJUI HUYU EDDI NYERERE BILA SHAKA KUNA ULAKINI KAMA WALIVYOZOZA WATU WANAOMJUA HAPO JUU. WA KUSAKIZIWA HUYU. NA ANAVYOWAPAKA NDUGU ZAKE SIO VIZURI, NOMA DADA.

    ReplyDelete
  15. WEWE ANONYM HAPO JUU NI LAZIMA ULIKUWA TU UMEOLEWA KWENYE HII FAMILIA YA NYERERE NDIYO NYIE MNAOITWA "THE GOLD DIGGERS" KUFUATA JINA KUBWA TU NA SIYO MAPENZI YA KWELI ILI MNEEMEKE;LAKINI MKAUMBUKA KUKUTA MASIKINI WANYERERE WENYEWE NI WATU WAKAWAIDA MNO HAWAPENDI KUTUMIA JINA LAO "KUJINAFASI" KM WATOTO WA WENGINE;LAKINI SI NDIVYO WALIVYOLELEWA? SASA SHOGA KUONA HIVYO;DILI HALIJIPI MKAONA MJITOE KUKIMBILIA MABUZI YENYE NAZO!POLE WE;UNGEULIZA KWANZA;SASA UNABAKIA KUPIGA FILIMBI TU;ZINAKUSAIDIA NINI?

    ReplyDelete
  16. HE!HE! THIS IS SO VERY FUUUUNY!! NI KWELI UYASEMAYO MWENZETU;WAKINA DADA WENGI BONGO (SIYO WOTE LAKINI) UKISIKIA KAOLEWA NA MTOTO WA FULANI WA MKUBWA UJUE HAPO NI LAZIMA CHAMBO KIMETUPWA BAHARINI KUTAFUTA SAMAKI;SASA KWA MABINTI WENGINE KWELI HUBAHATIKA NA MALENGO HUTIMIA;SASA WENGINE WAKAONA WAJARIBU KWA WANYERERE;ILI MRADI UKISIKIA LILE JINA WEWE MWENYEWE UNATETEMEKA!!NA MTU AKADHANI YES! SASA MAISHA YANGU YATABADILIKA GHAFLA;JAMANI NANI HAKUMJUA MZEE NYERERE ALIVYOKUWA?;MWANGALIENI MAISHA YAKE MWENYEWE BINAFSI JINSI YALIVYOKUWA SO VERY SIMPLE;UNATEGEMEA WATOTO WAKE WANGEKUWAJE?;"HAYA MAMBO NI GENETIC BWANA"( KWA WANAOJUA KIMOMBO);HIVI UNATAKA KUNIAMBIA HAWA WATOTO KM WANGETAKA KUWA MAMILIONEA WA KUTUPA WANGESHINDWA? WANGETAKA KUISHI KAMA WAFALME WANGESHINDWA? NINI KINGEWAZUIA? SI JINA TU LINAONGEA;HATA HII LEO WAKIAMUA TU KUFANYA KWELI WANAFANYA KWELI KITAKACHOWAZUIA NI NINI?;WHAT ELSE IS THERE?? NI MIFANO MINGAPI TUNAYO YA WATOTO WENGINE WA WAKUBWA WANAISHI MAISHA YA KIFAHARI MNO HUWEZI AMINI WAKO BONGO HII HII YENYE DHIKI NA TAABU TELE;LAKINI JIULIZE HIZO NI PESA HALALI KWELI?? AU NDIYO ZA WAVUJA JASHO;WENYE KUGANGA NJAA;MWANAKWETU HUJUI WATOTO KESHO WATAKULA NINI;ILI MRADI NI SHIDA TU;HIVYO KAMPENI POLE SANA HUYO ALIEOLEWA KUTEGEMEA ATAISHI KWENYE "PALESI" KAKUTA MAMBO SI HIVYO ILA KAISHIA KWENYE KA-FLAT UPANGA;NA NI DHAHIRI HAKUWA NA MAPENZI YA KWELI KWA MUME WAKE;MAANA ALIFUATA JINA TU;K.M ANGEMPENDA MUMEWE KWA DHATI BASI ANGEMSAIDIA KIMAWAZO NA SI KUMSAKAMA HALAFU WAKAJENGA;WAKATOKA KWENYE HIYO FLAT;NA WATU WANGEMHESHIMU NA KUMFAGILIA SANA;LEAVE THE NEYERERES ALONE;WAMEWAKOSA NINI WATU WA WATU MPAKA MWAWASAKAMA HIVI?KOSA LAO NI UAMINIFU WAO KWA KUTOIIBIA SERIKALI AU? KUMBUKA RIZIKI HUPANGWA NA MWENYEZI MUNGU MBINGUNI NA SIYO DUNIANI.

    ReplyDelete
  17. Yes! wafungeni vilomolomo hao wanaowabonda watoto au ukoo wa Mheshimiwa wetu Nyerere;kwanza hawaoni soni,jinsi Mzee yule alivyokuwa anaheshimiwa na busara zake nje na ndani ya nchi hii leo hii uanze kuwasema watoto wake au watoto wa ndugu zake vibaya;kwa kosa lipi? mimi naungana mkono na anonym aliyetangulia kuwa ni lazima hawa watakuwa wanawahusu sana Nyerere's,ni either waliolewa huko kwa matarajio tofauti sasa wakakuta mambo sooo,sasa ile hasira ile;ndiyo maana oh sijui unamjua Madaraka sijui yukoje sijui nani;lakini zote hizo ni chuki binafsi na hazina ukweli wowote;i wouldn't be surprised kuwa ni wake zao wenyewe ndiyo wanawaandika hivyo;si anajua haonekani nani atajua ni yeye;hovyo sana.Imagine mke mzima unakosa kazi ya kufanya unakwenda ku-blog kumbonda mumeo;lo salale! ama kweli dunia hii imekwisha;utamaduni wa kiafrika na mila zetu zileeeeeeee;zimekwenda na upepo.

    ReplyDelete
  18. HOI,JAMANI BADO MNALAKUONGEA? NAONA HAO WASHIKAJI HAPO JUU WAMEZOZA MAMBO YA KWELI HASA;MIMI BINAFSI NAMFAGILIA SANA BABU NYERERE PAMOJA NA FAMILIA YAKE NZIMA;SASA IMENIUMA KUKUTA WAPAMBE NUKSI WANAISUMBUA FAMILIA YAKE WAKATI YEYE HAYUKO DUNIANI;ACHENI KUWASEMA;K.M MNA LINALOWAKERA WAPIGIENI SIMU AU WAFUATE MAKWAO;HAPA MKIENDELEA KUWAONGELEA MBOVU HII FAMILIA MTABONDWA TU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...