Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Shirikisho halitakuwa na faida yoyote Tanzania. Wakenya na waganda wanatafuta ajira tu.

    Watanzania hatuhitaji shirikisho

    ReplyDelete
  2. 1) HATUITAJI UMOJA HUO SASA TUNA MAMBO MENGI SANA YA KUFANYA NA ARDHI YETU YA TANZANIA, HATUHITAJI UMOJA NA WAKENYA;
    NI WAKABILA SANA UPEO WAO WAKUONA MBALI NI MDOGO HATUTANUFAIKA NA CHOCHOTE! WAONGO, WEZI, MAHABITHI WAKUBWA!
    2) KWA SABABU UMOJA HUO HATUUTAKI BASI SWALA LA PILI NI HEWA !!!! YAANI UPUUUZI MAAANA JIBU LA KWANZA LINAFUTISHA SWALA ZIMA HILI LISILOLETA MAAANA KWENYE NCHI YETU!!!

    ReplyDelete
  3. Mi nashauri kenya wakaungane na Somalia na Uganda, Halafu Bongo tuungane na Zambia na Malawi-naweka wazi Wakenya siwapendi

    ReplyDelete
  4. wewe rhxoqsa vipi unaongea kama una mimba hutupendi sisi ati tunakufanya nini? kwani mmelazimishwa kuungana na sisi? simkatae basi ama mnaogopa kupoteza kazi juu kingereza kinawapita chini? hakuna sababu ingine ni kingereza tu kinawapa shida mnaona wivu sisi ni wakabila lakini ni wasomi sana.

    ReplyDelete
  5. Kaka michuzi mbona idadi ya watu kutoa maoni inapungua kila siku? Anyway naomba utupe picha nyingine ya Cynthia katika moja ya kalenda zake basi kama utakuwa bado unazo ni binti malaika mzuri saaanaaa!

    ReplyDelete
  6. Michuzi, kama hii ni kura ya maoni, tuulize kama tunapenda shirikisho hilo. Hatutaki shirikisho ambalo lime-float-iwa kutoka juu. Viongozi wetu sasa wanapenda kuundwa kwa Shirikisho hilo, je, wananchi wakikataa, Shirikisho hilo halitazaliwa? Au tutaambiwa kuwa kukataa kwetu kunapitwa na wakati?

    Bado kila nchi ina matatizo yake. Kila nchi isafishe nyumba yake. Burundi: Watwa ongeza Wahutu ongeza Watusi = Burundi. Rwanda: Watwa ongeza Wahutu ongeza Watusi = Rwanda. Uganda: Kasikazini kunayumba hakumtaki M-7 (mwenye tabia ya maneneo machafu ya kutukana na mwenye shingo isiyopindika - ngumu kama chuma - na mipangilio ya kudumisha falme baguzi za kijadi za kusini mwa nchi hiyo. Kenya: Haina State-moyo, bado yautafuta. Tanzania yangu badi ina tatizo la Zanzibari Factor.

    Tuondoe matatizo haya. Halafu wananchi waulizwe kama wanapenda hilo Shirikisho.

    ReplyDelete
  7. Michuzi, samahani!

    Swali langu la kutaka tuulizwe kama tunalitaka Shirikiso limejibiwa katika maswali yako ya maoni.

    ReplyDelete
  8. watz tumelelewa na mfumo wa kupeana kazi sasa haya mambo ya muungano wa East africa utatuharibia,it will be SURVIVAL FOR FIGHTEST kitu ambacho hatukitaki,we are not competitive by nature!!!

    ReplyDelete
  9. Unayejiita Mizzous umerudi tena kwa shari. Michuzi haitaji wachangiaji, kwani ukibonyeza hapo chini kwenye globe ya buluu, utajua anapata visits ngapi kwa siku, ambayo nadhani inatosha kabisa, enapo kama wachangiaje wenyewe niwenye akili kama yako. Tena nakumbuka huko nyuma alishakwambia Michuzi umkome, na wala usimtembelee. Mbona uajipendekeza? Kakukaribisha nani? Tuondolee pumba zenu humu, tuendelee na mijadala iloenda shule. Watu kama wewe MIZUU ndio mlimfnya Michuzi azuie maoni wakati fulani. Yeye kishakuwa megastar wa blog na hahitaji watu watoe maoni hata kama hawana cha kusema. ile kupata visitors 1,500 kwa siku inatosha kabisa. Koma kama ulivyokoma kwenye ziwa la mama yako, tuachie blogu yetu indeleee kuwa safi we MIZZOU!!!

    ReplyDelete
  10. NO, NO, NO, NO, NO,NNNNNNNNNNO!!!!!!

    ReplyDelete
  11. Kwenye picha nyinginezo, naonekana kama duma; tayari kwa mbio! nitakuacha mataani!

    ReplyDelete
  12. we PETER OCHIENG acha kujishaua,wajapan,wachina,waitaliano,canada,latino America na nchi nyingi tu ambazo hicho kikenya hakiifikii hata chini ya kiatu,zimeendelea na hawajui hicho kingereza. Siyo kama hatujui kingereza,tunaona hakina umuhimu ya maendeleo ya taifa letu, nyie endeleeni kuiga tu bwana kwasababu mtafanyaje na hamna lugha,hata tungekuwa sisi tungeiga tu,sikulaumu,washamba tu nyie hamna lolote.Mimi siwapendi hawa.

    ReplyDelete
  13. Jamani ndugu zangu vitu vya kulazimisha mara nyingi havina mafanikio, kwa hivyo basi kabla ya kulazimisha nadhani ingekuwa busara kwa viongozi wa nchi zote husika kufanya kura za maoni katika nchi zao [referendum]na muungano uwepo tu endapo katika kila nchi zaidi ya asilimia 60 ya wananchi watautaka, vinginevyo tungojee wakati muafaka!referendum nikitu cha kawaida duniani ambako viongozi wanathamini maoni ya wananchi na sio kuwaburuza tu!Tukumbuke mbio za sakafuni huishia ukingoni!
    Joel.

    ReplyDelete
  14. Huyo anayesema wabongo hatujui kingereza mjinga sana. Yeye kingereza kimemfikisha wapi???? Yeye anafikiri kingereza ndio lugha ya kuringia siku hizi?? Muulize kwanini kila mtu huko USA and Europe wanajifunza kichina sasa hivi....Mjinga sana..hatutaki huo muungano na pia kaa na kingereza chako. Tuachie amani yetu siye waswahili.

    ReplyDelete
  15. Wewe Peter wewe. Pole sana rudi shuleni....Tafuta identity yako....acheni kuiga iga tu....Wewe kingereza lugha yako, bibi yako anaongea kingereza???? Au ndio hivyo akienda mahali asipomkuta mkikuyu mwenzake basi mdomo hafungui. Sisi waswahili poa tu grandma anaongea na kila mtu... msukuma poa, mchagga hola tu, na mgogo akija cool tu.....Give us a break!!!!Go back to skull. Your comment just shows how dumb you are. Mimi mswahili bwana na najivunia lugha yangu

    ReplyDelete
  16. Michuzi, hii kura yako ya maoni inaendekaje? It is not sayantifiki. Itakonfaundi matokeo yake kutokana na wale wale tu kurudia rudia kupiga kura. Kila siku mimi hupiga kura na ninakubaliwa! Usije ukafaindi auti kuwa jumla ya wapiga kura ya maoni eksi, asilimia eksi walisema ndiyo, hapana, nafikiria na kukokrudi ni wakina anani walishinda.

    Kwa kifupi, suala hili lina vipengere viwili muhimu vinavooana. Kwanza, kuna haja ya muungano wa kiuchumi. Mbili, muungano wa kisiasa, ikiwa ni pamoja na njama za uchu wa kila kiongozi wa nchi za Afrika Mashariki kutaka kuwa Rasi wa kwanza.

    Kiuchumi, Tanzania si memba wa COMESA. Sisi tumejiunga na wenzetu wa Afrika Kusini kufanya vitu vyetu. Ndiyo tnataka muunano kiuchumi. Lakini tupunguze u-memba katika mashirika mengi ya uchumi.

    Kisiasa, POOOOOOOOOOOOOOOOTELEA MBALIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII! NGO, SITAKI!

    ReplyDelete
  17. Hili swala la muungano naona maraisi wanaamua juu kwa juu tu, hii ni noma sana
    kwanini tusipige kura za maoni wananchi tuchague kama tunataka au la, nchi nyingine especially zilizo join EU zilipiga kura za maoni, kwanini wa Tanzania tusifanye hivyo, au ndio DEMOKRASIA yetu ya mfukoni hii nini?

    ReplyDelete
  18. WEWE PETER OCHIENG NDIO FALA KABISA , MSENGE NINI WEWE. KIINGEREZA NDIO NINI? KUWA NA PRIDE YA LUGHA YAKO, UNASEMA PIA NYIE NI WASOMI SANA...USOMI WAKO UMEKUFIKISHA WAPI? SHENZI KABISA WEWE NDIO MAANA WAKENYA WANANG'ANG'ANIA KUJA TANZANIA WAMEJAA TELE. NAKUBALIANA NA WANANCHI WALIOSEMA YOTE MABAYA KUHUSU NYIE, NI MATAPELI, WEZI, YOU NAME IT.
    MBONA HAMKAI KWENU BASI, MNAKIMBILIA NCHI ZA WENGINE? SHENZI WEWE.

    ReplyDelete
  19. Mkenya aliyemaliza high school akienda kusoma universities za ulaya hapokelewi moja kwa moja kuchukua digrii, itabidi asote kwa mwaka mzima wa bridging course ya kumpeleka university, lakini Mtanzania aliyemaliza high school anapokelewa moja kwa moja kufanya digrii bila mikwara. Sasa hapo nani mwenye msingi mzuri wa elimu? Amkeni wa Tanzania, Wakenya wanajaribu kujenga inferiority complex vichwani mwenu ili wawatapeli. Waogopeni wa Kenya kama UKOMA.

    ReplyDelete
  20. NAOMBA TUPE BENDERA YA SHIRIKISHO!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...