KUNA MDAU KALETA MAONI JUU YA DUKA KUBWA LA VITO LA TIFFANY LA NYU YOK HAPO JUU. NAMI KAMA KAWAIDA YANGU NAYAMWAGA KAMA YALIVYO...

Hebu sasa tuzungumzie lifuatalo:Kampuni ya kimataifa ya Wahahudi ya Tiffany, yenye makao makuu yake hapa New York, ndio iliyobatiza zoisite gemstone kwa jina la tanzanite; madini yanayopatikana Tanzania peke yake. Tiffany ndiye mnunuzi mkubwa wa tanzanite. Biashara ya madini haya ni ya kusitaajabisha kutokana na habari kuwa nchi nyingi zisizo na madini haya ndizo zinaouza Tanzania nje kwa kampuni ya Tiffany na nyinginezo. Biashara hii pia iliathirika kutokana na ukweli kwamba kati ya wadau wake walikuwa ni wanachama wa El Qaida ya wakina Bin Laden kuhusishwa na biashara hii. Tiffany walisusia kidogo biashara hii hadi hapo wakina Bin laden walipoondolewa. Kuna msukosuko mwingine. Shirika la Umoja wa Mataifa linapambana sana dhidi ya mambo mawili: utumwa na uajiri kazi kwa watoto wa umri mdogo. Kupitia mojawapo ya ofisi zake - Ofisi ya Kuratibu Masuala ya Misaada (Office of Coordination of Humanitarian Affairs) - hivi majuzi ilitengeneza filamu dhidi ya kuajiri watoto kama hao katika machimbo ya tanzanite ya Merereni, yenye kichwa cha habari, Gem Slaves: Tanzanite's Child Labour. Filamu hii ilizinduliwa Septemba mwaka huu hapa kwenye Umoja wa Mataifa wakati Rais Kikwete akiwa hapa. Hii si mara ya kwanza kwa ofisi hii kutengeneza na kuonyesha filamu za namna hii.Hatujamsikia Rais Kiwete akilaani filamu hii, kama alivyofanya kuhusu filamu ya Hubert Sauper, Darwin’s Nightmare! Mbali na shutuma za baadhi ya wadau wa Kitanzania wanaohusiana na tanzanite, hakuna hata Wabunge wetu waliokuja juu dhidi ya filamu ya Gem Slaves: Tanzanite's Child Labour! Kisa: Aidha, hii ni filamu ya Umoja wa Mataifa au pengine kuna ukweli bayana ndani yake.Juzi juzi, gazeti moja la nyumbani liliandika kuwa mwakilishi wa kampuni ya Tiffany alifanya ziara nchini kwa minajili ya kujibu wito wa Rais Kikwete wa kualika wawekezaji nchini. Lakini yatubidi kupanua mawazo yetu. Isije ziara ya mwakilishi huyu wa Tiffany ikwa ni sababu ya kuja kutathimini ukweli way ale yaliyomo ndani ya filamu ya Gem Slaves: Tanzanite's Child Labour! Maana filamu hii, licha ya yaonekanyo kwa macho yetu (contents), ina maana kubwa sana yanapoumbiwa sura nzito (context). Si kuajiri tu watoto wenye umri mdogo, bali, pia ni utumwa!
Kampuni ya Tiffany kamwe haingependa kujihusisha na vitendo nivavyoendeleza njama za kudhalilisha na kudurru tu na fia za kupanga, kutekelza, kupanua, kuotesha, kupalilia, kumwagilia maji mimea ya utumwa, na uajiri wa watoto wenye umri mdogo kazini. Ukweli utakaopatikana unaweza kuathiri tena biashara ya tanzanite. Pengine mwakilishi wa kampuni ya Tiffany amekuja kuzungumza na wakubwa jinsi ya kuendeleza uchimbaji wa tanzanite bila ya kuwatumikishs watoto wadogo, kama watumwa.
Kampuni ya Tiffany kamwe haingependa kujihusisha na vitendo nivavyoendeleza njama za kudhalilisha na kudurru tu na fia za kupanga, kutekelza, kupanua, kuotesha, kupalilia, kumwagilia maji mimea ya utumwa, na uajiri wa watoto wenye umri mdogo kazini. Ukweli utakaopatikana unaweza kuathiri tena biashara ya tanzanite. Pengine mwakilishi wa kampuni ya Tiffany amekuja kuzungumza na wakubwa jinsi ya kuendeleza uchimbaji wa tanzanite bila ya kuwatumikishs watoto wadogo, kama watumwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Wewe uliye tuma hii issue kwa Michuzi nadhani wewe ndiyo kwanza umemaliza ku clock out umechoka na unalichupa kubwa 40oz la malt liqour uko sebureni hata kuoga hujaoga unaangalia bill kwenye meza rent past due, utility, cell phone,cable past due gari wamechukua wenye nalo haya credit card ume fuck up,shule hujaenda makalatasi yamegoma uliye mwoa kwa deal haonekani, haya una ka DWI, ndani unakaa peke yako huna mtu wa kuja kukuongeresha. SASA UNAONA LIFE CHUNGU UNAINGIA KATIKA INTERNET NA KUANZA KUANDIKA MAMBO YA KISHENZI ETI KUDHALILISHA TANZANIA NA TANZANITE YETU. WEWE NDIYO ULITAKIWA UONE AIBU HUJAWAHI KUCHAMBA HATA SIKU MOJA MKUNDU WA MWEUSI MWENZAKO LAKINI WAZUNGU WAMEKUPA TU HELA KIDOGO NASIKIA HATA HIZO GLOVES HUVAI TENA UNACHAMBA PEKU SI AJABU DOLLAR IKIONGEZWA UTACHAMBA KWA ULIMI MIKUNDU YA WAYAHUDI HAO HAO WA NEW YORK SASA IWEJE LEO WEWE USIJIONEE HURUMA KWA USHENZI HUU UNAOUFANYA HUKO UNAONA HURUMA KWA SISI TUNAOKAA HUKU TANZANIA PEACEFULLY? KWA TAARIFA YAKO MIMI NILIKUWA HUKO NIMEPITIA USHENZI WENU WOTE NA SASA NIMERUDI NYUMBANI KUNA KAZI NZURI MAISHA MAZURI LAKINI NAWASIHI KAKA NA DADA ZANGU MSIPO ANGALIA MAISHA YA MAREKANI MTALOST SANA JARIBUNI KUMALIZA SHILE MJE KUOA HUKU WATOTO WENGI WAZURI,WAKINA DADA KUNA WAKINA KAKA WENGI WASOMI MA HANDSOME SASA FANYENI KILA MUWEZALO MRUDINI NYUMBANI HASA WALE AMBAO NI MIAKA ZAIDI YA 10. MAISHA YA HUKO SI MAZURI MNABAGULIWA SANA, NA 90% HAMNA RAHA JARIBUNI KUWATEMBELEA WAZAZI MTAPATA BARAKA, MSIKALIE KUPIGA DOUBLE MWILI UNACHOKA, FANYENI KAMA MIMI MALIZA SHULE RUDI NYUMBANI SAIDIA TANZANIA. HUU NI USHAURI TU. PEACE

    ReplyDelete
  2. SAMAHANI sana wana blog kwa SWALI langu la kitoto: Hivi huyu aliyetuma hii habari "Ni msemaji wa kampuni ya Tiffany"? Kwani anasema kama vile ametumwa atamke hivyo! Hivi mimi inanihusu nini HUYO YAHUDI kuja bongo kwenye TANZANITE yetu?? Yaani nimwogope wakati anakuja KUIBA au kufanya mipango ya kuiba zaidi?? Yaani yeye anataka DOGO wa mererani aischimbe Tanzanite na badala yake Yahudi huyo alet MITOMBO mikubwa ya kuchimbia tanzanite bila KODI kisha mtoto yule akose CHOO wala shule:::: Kwasababu kodi hailipwi!! Pole sana Mr. AGENT.

    Be blessed. The Very Revd. EVM

    ReplyDelete
  3. Ni mimi niliyetuma. Kuna makosa kosa fulani. Nimeyasahihisha. Isomeke kama ifuatavyo.

    Kampuni ya kimataifa ya Wahahudi ya Tiffany, yenye makao makuu yake hapa New York, ndio iliyobatiza zoisite gemstone kwa jina la tanzanite; madini yanayopatikana Tanzania peke yake. Tiffany ndiye mnunuzi mkubwa wa tanzanite.

    Biashara ya madini haya ni ya kusitaajabisha kutokana na habari kuwa nchi nyingi zisizo na madini haya ndizo zinaouza Tanzania nje kwa Tiffany na kampuni nyenginezo. Biashara hii pia iliathirika kutokana na ukweli kwamba kati ya wadau wake walikuwa ni wanachama wa El Qaida ya wakina Bin Laden. Tiffany walisusia kidogo biashara hii hadi hapo wakina Bin Laden walipoondolewa. Serikali yetu imeweka mkakati bandala wa kuakbili sura hii ya biashara ya tanzanite. Hatuna budi kuipongeza.

    Kuna msukosuko mwingine. Shirika la Umoja wa Mataifa liko mstari wa mbele wa mapambano dhidi ya mambo mawili: utumwa na uajiri kazi kwa watoto wa umri mdogo. Kupitia mojawapo ya ofisi zake, Ofisi ya Kuratibu Masuala ya Misaada (Office of Coordination of Humanitarian Affairs) hivi majuzi ilitengeneza na kuonyesha filamu dhidi ya kuajiri watoto kama hao katika machimbo ya Merereni iitwayo, Gem Slaves: Tanzanite's Child Labour. Filamu hii ilizinduliwa Septemba mwaka huu hapa kwenye Umoja wa Mataifa wakati Rais Kikwete akiwa hapa. Hii si mara ya kwanza kwa ofisi hii kutengeneza na kuonyesha filamu za namna hii.

    Hatukumsikis, wala hatujamsikia, Rais Kiwete akilaani filamu hii, kama alivyofanya kuhusu filamu ya Hubert Sauper, Darwin’s Nightmare! Mbali na shutuma za baadhi ya wadau wachache wa Kitanzania wanaohusiana na tanzanite, hakuna hata Wabunge wetu waliokuja juu dhidi ya filamu ya Gem Slaves: Tanzanite's Child Labour! Kisa: Aidha, hii ni filamu ya Umoja wa Mataifa au pengine kuna ukweli bayana ndani yake. Au yote mawili.

    Gazeti moja la nyumbani juzi liliandika kuhusu ziara ya mwakilishi wa kampuni ya Tiffany nchini kuitikia wito wa Rais Kikwete wa kualika wawekezaji nchini. Lakini yatubidi kupanua mawazo yetu isije ziara ya mwakilishi huyu wa Tiffany ikiwa ni sababu ya kuja kutathimini ukweli wa yale yaliyomo ndani ya filamu ya Gem Slaves: Tanzanite's Child Labour! Maana filamu hii, licha ya yale yaonekayo kwa macho yetu (contents). Filamu hii ina maana kubwa sana wakati yale yaonekanayo kwa macho yanapoumbiwa sura kamili na nzito (context). Kwani kiini au kitovu chake si kuajiri tu watoto wenye umri mdogo; ni utumwa!

    Watu wengi wenye mwamko kama huo wa Umoja wa Mataifa watazidi kupinga kwa ukali mipango, utekelezaji, upanuaji, uoteshaji, upaliliaji, umwagiliaji maji mimea, uvunaji na ulaji wa uhondo wa matokeo ya utumwa na fikra zake, ikiwa ni pamoja na uajiri wa watoto wenye umri mdogo kazini. Kampuni ya Tiffany kamwe haingependa kujihusisha na vitendo nivavyoendeleza njama za kuhujumu na kudhalilisha utu na heshima ya binadamu.

    Ukweli utakaopatikana unaweza kuathiri tena biashara ya tanzanite. Pengine mwakilishi wa kampuni ya Tiffany amekuja kuzungumza na wakubwa jinsi ya kuendeleza uchimbaji wa tanzanite bila ya kuwatumikisha watoto wadogo, kama watumwa. Yangu macho!

    ReplyDelete
  4. WEWE MKUNDU WA KWANZA HAPO JUU,UMERUDI BONGO HUNA LOLOTE UMEISHIWA KABISA.NA HIYO ELIMU UNAYODAI UTASAIDIA WAZAZI WAKO,KWANZA WENYEWE WANASIKITIKA SANA KWANI HAWAONI MSAADA WOWOTE KUTOKA KWAKO.

    U.A.E-DUBAI IMETAJIRIKA KUTOKANA NA MWAMBA WA MAFUTA,CHANZO CHA HUO MWAMBA UNAANZIA TANZANIA.

    KENYA TOURISM SECTOR.100%REVENUE YAKE INATOKANA NA WATARII KUJA KUANGALIA MLIMA KILIMANJARO ULIOPO KENYA -INASIKITISHA SANA.

    MISRI-100% IRRIGATION SYSTEM FROM RIVER NILE .DODOMA UKAME-TULIZA MKUNDU WAKO NAUELIMIKE KWANZA SIO UNARUDI TANZANIA BILA CHA KUFANYA,KAZI KUCHOMEKEA MASHATI NA TAI ZA BEI RAHISI.

    TANZANITE NIMADINI AMBAYO YANAPATIKANA KIJIJI KIMOJA TU DUNIA NZIMA,HAKUNA SEHEMU YEYOTE TENA.U.A.E NDIO WAUZAJI WA KUBWA WA TANZANITE DUNIANI.

    CHINESE FURNITURE MANUFACTURERS-LOGS ZOTE ZILIKUWA ZINAIBIWA TOKEA MTWARA, SOUTHERN TANZANIA,TOKA MWA 1973, SASA BEI YA MBAO IMEPANDA SANA HUKO CHINA BAADA YA MKAPA KUWABANIA MAPUMBU.HONGERA SANA MKAPA KWA HILO LA LOGS ILA UMECHEMSHA SANA KULE BACLIFF-GEITA

    SOUTH AFRICA-MKAPA KACHEMSHA SANAAA BAADA YA KUWASAINISHA MAKABURU BACLIFF -GEITA KUCHIMBA MADINI KWA MIAKA MIA MOJA-WAKATI MWALIMU ALIWAFUKUZA WOTE NA KUPIGA MAKUFURI MACHIMBONI MWOTE.SASA ALIMASI NAYO INAPATIKANA GEITA.MASIKINI WA AKILI.

    NYERERE ALISEMA ACHENI MALI ASILI WATU WAPATE ELIMU YA KUTOSHA,PENGINE MIMI AU WAJUKUU ZANGU.

    SASA HIYO FILM INAONYESHA WATOTO WAKIFANYA KAZI MERERANI.HIYO NI UJANJA WA HIYO KAMPUNI YA TIFANI NA WAARABU WA DUBAI.ILI BEI YA MADINI MERERANI YAZIDI KUWA HAYANA THAMANI.HUKU WAO WAKIFAIDIKA NA UJINGA WA WATANZANIA,ETI MRUDI NYAMBANI KUSAIDIA WAZAZI. VICHEKESHO PIA UNAOTA KABISA NDOTO ZA JIONI WAKATI WENZAKO NDIO KWANZA KUMEKUCHA.

    WAKENYA NA WAETHIPIA SASA WAMEINGIZA UCHAFU WAO WA KAHAWA NDANI YA STARBUCKS COFFEE-DUNIA NZIMA.WAKATI KUNA KAWAWA SAFI SANA BUKOBA AMBAYO UKINYWA WEWE MKUNDU WAKO UNAPANUKA-SIJUI KWANINI UNAJIITA MAISHA.

    NDIO MAANA WAKENYA WANASEMA KWAMBA WATANZANIA NI WAKOLA.JE HAYO NI YA KWELI.

    AU WEWE MAISHA NI MMOJA WA WALE WABONGO MLIO KUWA DEPORTED NA I.N.S

    THIS IS UNITED STATES OF AMERICA-"THE LAND OF OPPURTINITY FULL OF MILK AND HONEY"UNLESS YOU REMEMBER WHERE YOU CAME FROM.

    MWALIMU J.K NYERERE ALIITA TANZANIA
    "THE PROMISSED LAND"SASA PROMISSED LAND IMEUZWA.WAZAWA WANATAABIKA NA KUKONDEANA VIBAYA SANAA.

    WAPEMBA NA WADOSI WAME TAKE OVER REAL ESTATE MARKET KARIAKOO NA MAGOMENI,SASA WANAINGIA OYSTER BAY NA MASAKI.HAKUNA MSWAHILI -BLACK ANAYEFANYA MAMBO MAKUBWA DAR.
    REGINARD MENGI -CREDIT SCORE YAKE NI KAMA 400 NA KUSHUKA CHINI

    NIAIBU KUBWA SASA KUONA,MHINDI WA TANZANIA AISHIE HOUSTON.AMBAYE HANA LOLOTE KUPEWA TENDA NA SERIKALI YA TANZANIA KULETA MITAMBO YA UMEME TANZANIA-MATOKEO YAKE ALICHEMSHA VIBAYA SANA.KWANZA HANA PESA ,PILI CREDIT SCORE YAKE CHAFU KABISAAA.KAMA WEWE MAISHA HAPO JUU KWELI MAISHA!!!!!!
    KWANI VIONGOZI WOTE WATANZANIA WAMESHINDWA KUYA FACE MAKAMPUNI MAKUBWA NA KUTOA FEDHA.AU WANGEWASILIANA MIMI NIKAWASAIDIA KWANI MY CREDIT IS CLEAN AND ABOVE 700
    SO I CAN 100% DO THIS MEN.

    TANZANIA BADO INANUNUA NDEGE ZILIZOTUMIKA KWA BEI YA JUU KABISA,WEZI WAKATI JET MPYAAA KWA BEI YA CHINI KABISAAA.

    UNDER -A.G.O.A TANZANIA IMEPATIWA DUTY FREE KU EXPORT SAMAKI MAREKANI .SASA WAMECHEMSHA KINOMA KWANI HAKUNA MWEUSI YEYOTE WA TANZANIA ANAYETUMIA NAFASI HII.

    MACHUNGWA YANAANGUKA OVYO HUKO KISIWANI UKELEWE.MACHUNGWA HAYO YAKIKAMULIWA YATASADIA NCHI ZOTE TISA ZINAZO ZUNGUKA TANZANIA-KENYA,UGANDA,BURUNDI,RWANDA,ZAMBIA,MSUMBIJI,MALAWI-PIA NCHI KAMA SUDAN,CONGO NA DJIBOUT.

    HIZI NCHI ZOTE ZINATEGEMEA SANA TANZANIA KAMA SUPER POWER NATION.SASA SUPER PAWA YENYEWE NDIO KWANZA TUNAZIDI KUPATA WATU KAMA MAISHA HAPO JUU.

    WEWE MAISHA INABIDI URUDI AMERIKA KAMA KUNA UWEZEKANO ILI UWEZE KUPATA KNOWLEDGE NA ELIMU ZAIDI-SIO KURUDI TANZANIA NA KUAMBUKIZA DADA ZETU UKIMWI.HUNA LOLOTE MAISHA

    KAZI KUOA NA KUZAANA BILA MPANGILIO WOWOTE-HARUDI MTU TANZANIA MPAKA NIHAKIKISHE NIMETOSHEKA NA NINA MAWAKILI (LAWYERS)KAMA ISHIRINI AMBAO WATATAFUNA MTU YEYOTE ATAKAYE NIINGILIA KATIKA KUBADILISHA TANZANIA-MMOJA WA HAO MA LAWYER NI
    WILLIE E. GARY-ANAWATAFUNA WASHENZI KAMA HANA AKILI NZURI

    KWA-KHELI MR. MAISHA

    ReplyDelete
  5. WEWE ZERO KWA TAARIFA YAKO MIMI NINA DEGREE YA PILI WEWE NDIYO HAYA ONE SIJUI HATA KAMA SHULE UNAENDA NA KUHUSU MAKALATASI MIMI NIMEMALIZA SIKU NYINGI NIMERUDI HOME SIYO KWA KUFUKUZWA WEWE UNANG`ANG`ANIA HUKO HUNA KITU ELIMU UMESHINDWA, CREDIT MBOVU,MAKARATASI HUNA, HATA WAZAZI WAKO HUJAWAONA SI AJABU MIAKA MINGI SANA.SASA NITABISHANA NA WEWE VIPI? HUJAFIKA TANZANIA SIJUI MWAKA WA NGAPI WAKATI MIMI NIMEKUWA NARUDI KILA MWAKA, MPAKA WABONGO WANANI MIND SASA WEWE UTANIAMBIA NINI. NINA KAZI NZURI MALIPO MAZURI MAISHA MAZURI NINAMPANGO WA KUOA MTOTO MZURI WA KITANZANIA SASA WEWE NA AMERICA UNAPATA MAKAPI WATU WAMETOMBA MIAKA NENDA RUDI WEWE UNAVUTA NDANI KUOA MATOKEO YAKE UNANYANYASWA NA KUJUTA. NJOO BONGO UONE TUNAVYO ENJOY KILA KITU CASH SIYO MIKOPO KESHO WANARUDI KUCHUKUA MALI ZAO. WEWE ZERO NADHANI UMEPATA MESSAGE YANGU....

    ReplyDelete
  6. chalii yangu acha ukuma we ni kuma nini acha mambo ya kikuma unataka macharii twende wapi na ajira bongo ni kujiari mwenyewe acha ukuma hiyo digrii yako ni ya kikuma kuma la mama yako nenda ukatafute kazi na kasaidie ndugu zako makuma ni kuma tu,arusha ni ya macharii wa mawe wewe ni kuma tu,

    ReplyDelete
  7. WADAU WA BONGO MSIOMJUA TIGER WOOD?

    What makes Tiger Woods great? What made Berkshire Hathaway (Charts) Chairman Warren Buffett the world's premier investor? We think we know: Each was a natural who came into the world with a gift for doing exactly what he ended up doing. As Buffett told Fortune not long ago, he was "wired at birth to allocate capital." It's a one-in-a-million thing. You've got it - or you don't.

    Well, folks, it's not so simple. For one thing, you do not possess a natural gift for a certain job, because targeted natural gifts don't exist. (Sorry, Warren.) You are not a born CEO or investor or chess grandmaster. You will achieve greatness only through an enormous amount of hard work over many years. And not just any hard work, but work of a particular type that's demanding and painful.


    Born Winner? Golf champ Tiger Woods (pictured at 3 years old) never stopped trying to improve.


    Woods (pictured in 2001) devoted hours to practice and even remade his Swing twice, because that's what it took to get better.

    More from FORTUNE
    Secrets of South Park

    Battle of the Washington insiders

    The real reason that Google bought YouTube?


    FORTUNE 500
    Current Issue
    Subscribe to Fortune

    Quiz Take the quiz

    What kind of manager are you? A psychologist says whether you take all the credit (or blame) when things go well (or badly) means a lot for you and how best to motivate your team. Answer the following 6 questions, and see how you score.

    1. When I succeed at a task, it is usually because I worked hard.
    Strongly Disagree
    Somewhat Disagree
    Neutral
    Somewhat Agree
    Strongly Agree



    Tip Sheet: Perfect Practice
    1. Approach each critical task with an explicit goal of getting much better at it.
    2. As you do the task, focus on what's happening and why you're doing it the way you are.
    3. After the task, get feedback on your performance from multiple sources. Make changes in your behavior as necessary.
    4. Continually build mental models of your situation - your industry, your company, your career. Enlarge the models to encompass more factors.
    5. Do those steps regularly, not sporadically. Occasional practice does not work.


    Video More video


    Wynton Marsalis, Google's Marissa Mayer and Craigslist's Jim Buckmaster reveal their personal strategies for success.
    Play video




    Buffett, for instance, is famed for his discipline and the hours he spends studying financial statements of potential investment targets. The good news is that your lack of a natural gift is irrelevant - talent has little or nothing to do with greatness. You can make yourself into any number of things, and you can even make yourself great.

    Scientific experts are producing remarkably consistent findings across a wide array of fields. Understand that talent doesn't mean intelligence, motivation or personality traits. It's an innate ability to do some specific activity especially well. British-based researchers Michael J. Howe, Jane W. Davidson and John A. Sluboda conclude in an extensive study, "The evidence we have surveyed ... does not support the [notion that] excelling is a consequence of possessing innate gifts."

    To see how the researchers could reach such a conclusion, consider the problem they were trying to solve. In virtually every field of endeavor, most people learn quickly at first, then more slowly and then stop developing completely. Yet a few do improve for years and even decades, and go on to greatness.

    The irresistible question - the "fundamental challenge" for researchers in this field, says the most prominent of them, professor K. Anders Ericsson of Florida State University - is, Why? How are certain people able to go on improving? The answers begin with consistent observations about great performers in many fields.

    Scientists worldwide have conducted scores of studies since the 1993 publication of a landmark paper by Ericsson and two colleagues, many focusing on sports, music and chess, in which performance is relatively easy to measure and plot over time. But plenty of additional studies have also examined other fields, including business.

    No substitute for hard work
    The first major conclusion is that nobody is great without work. It's nice to believe that if you find the field where you're naturally gifted, you'll be great from day one, but it doesn't happen. There's no evidence of high-level performance without experience or practice.

    Reinforcing that no-free-lunch finding is vast evidence that even the most accomplished people need around ten years of hard work before becoming world-class, a pattern so well established researchers call it the ten-year rule.

    What about Bobby Fischer, who became a chess grandmaster at 16? Turns out the rule holds: He'd had nine years of intensive study. And as John Horn of the University of Southern California and Hiromi Masunaga of California State University observe, "The ten-year rule represents a very rough estimate, and most researchers regard it as a minimum, not an average." In many fields (music, literature) elite performers need 20 or 30 years' experience before hitting their zenith.

    So greatness isn't handed to anyone; it requires a lot of hard work. Yet that isn't enough, since many people work hard for decades without approaching greatness or even getting significantly better. What's missing?

    Practice makes perfect
    The best people in any field are those who devote the most hours to what the researchers call "deliberate practice." It's activity that's explicitly intended to improve performance, that reaches for objectives just beyond one's level of competence, provides feedback on results and involves high levels of repetition.

    For example: Simply hitting a bucket of balls is not deliberate practice, which is why most golfers don't get better. Hitting an eight-iron 300 times with a goal of leaving the ball within 20 feet of the pin 80 percent of the time, continually observing results and making appropriate adjustments, and doing that for hours every day - that's deliberate practice.

    Consistency is crucial. As Ericsson notes, "Elite performers in many diverse domains have been found to practice, on the average, roughly the same amount every day, including weekends."

    Evidence crosses a remarkable range of fields. In a study of 20-year-old violinists by Ericsson and colleagues, the best group (judged by conservatory teachers) averaged 10,000 hours of deliberate practice over their lives; the next-best averaged 7,500 hours; and the next, 5,000. It's the same story in surgery, insurance sales, and virtually every sport. More deliberate practice equals better performance. Tons of it equals great performance.

    The skeptics
    Not all researchers are totally onboard with the myth-of-talent hypothesis, though their objections go to its edges rather than its center. For one thing, there are the intangibles. Two athletes might work equally hard, but what explains the ability of New England Patriots quarterback Tom Brady to perform at a higher level in the last two minutes of a game?

    Researchers also note, for example, child prodigies who could speak, read or play music at an unusually early age. But on investigation those cases generally include highly involved parents. And many prodigies do not go on to greatness in their early field, while great performers include many who showed no special early aptitude.

    Certainly some important traits are partly inherited, such as physical size and particular measures of intelligence, but those influence what a person doesn't do more than what he does; a five-footer will never be an NFL lineman, and a seven-footer will never be an Olympic gymnast. Even those restrictions are less severe than you'd expect: Ericsson notes, "Some international chess masters have IQs in the 90s." The more research that's done, the more solid the deliberate-practice model becomes.

    Real-world examples
    All this scholarly research is simply evidence for what great performers have been showing us for years. To take a handful of examples: Winston Churchill, one of the 20th century's greatest orators, practiced his speeches compulsively. Vladimir Horowitz supposedly said, "If I don't practice for a day, I know it. If I don't practice for two days, my wife knows it. If I don't practice for three days, the world knows it." He was certainly a demon practicer, but the same quote has been attributed to world-class musicians like Ignace Paderewski and Luciano Pavarotti.

    Many great athletes are legendary for the brutal discipline of their practice routines. In basketball, Michael Jordan practiced intensely beyond the already punishing team practices. (Had Jordan possessed some mammoth natural gift specifically for basketball, it seems unlikely he'd have been cut from his high school team.)

    In football, all-time-great receiver Jerry Rice - passed up by 15 teams because they considered him too slow - practiced so hard that other players would get sick trying to keep up.

    Tiger Woods is a textbook example of what the research shows. Because his father introduced him to golf at an extremely early age - 18 months - and encouraged him to practice intensively, Woods had racked up at least 15 years of practice by the time he became the youngest-ever winner of the U.S. Amateur Championship, at age 18. Also in line with the findings, he has never stopped trying to improve, devoting many hours a day to conditioning and practice, even remaking his swing twice because that's what it took to get even better.

    The business side
    The evidence, scientific as well as anecdotal, seems overwhelmingly in favor of deliberate practice as the source of great performance. Just one problem: How do you practice business? Many elements of business, in fact, are directly practicable. Presenting, negotiating, delivering evaluations, deciphering financial statements - you can practice them all.

    Still, they aren't the essence of great managerial performance. That requires making judgments and decisions with imperfect information in an uncertain environment, interacting with people, seeking information - can you practice those things too? You can, though not in the way you would practice a Chopin etude.

    Instead, it's all about how you do what you're already doing - you create the practice in your work, which requires a few critical changes. The first is going at any task with a new goal: Instead of merely trying to get it done, you aim to get better at it.

    Report writing involves finding information, analyzing it and presenting it - each an improvable skill. Chairing a board meeting requires understanding the company's strategy in the deepest way, forming a coherent view of coming market changes and setting a tone for the discussion. Anything that anyone does at work, from the most basic task to the most exalted, is an improvable skill.

    Adopting a new mindset
    Armed with that mindset, people go at a job in a new way. Research shows they process information more deeply and retain it longer. They want more information on what they're doing and seek other perspectives. They adopt a longer-term point of view. In the activity itself, the mindset persists. You aren't just doing the job, you're explicitly trying to get better at it in the larger sense.

    Again, research shows that this difference in mental approach is vital. For example, when amateur singers take a singing lesson, they experience it as fun, a release of tension. But for professional singers, it's the opposite: They increase their concentration and focus on improving their performance during the lesson. Same activity, different mindset.

    Feedback is crucial, and getting it should be no problem in business. Yet most people don't seek it; they just wait for it, half hoping it won't come. Without it, as Goldman Sachs leadership-development chief Steve Kerr says, "it's as if you're bowling through a curtain that comes down to knee level. If you don't know how successful you are, two things happen: One, you don't get any better, and two, you stop caring." In some companies, like General Electric, frequent feedback is part of the culture. If you aren't lucky enough to get that, seek it out.

    Be the ball
    Through the whole process, one of your goals is to build what the researchers call "mental models of your business" - pictures of how the elements fit together and influence one another. The more you work on it, the larger your mental models will become and the better your performance will grow.

    Andy Grove could keep a model of a whole world-changing technology industry in his head and adapt Intel (Charts) as needed. Bill Gates, Microsoft's (Charts) founder, had the same knack: He could see at the dawn of the PC that his goal of a computer on every desk was realistic and would create an unimaginably large market. John D. Rockefeller, too, saw ahead when the world-changing new industry was oil. Napoleon was perhaps the greatest ever. He could not only hold all the elements of a vast battle in his mind but, more important, could also respond quickly when they shifted in unexpected ways.

    That's a lot to focus on for the benefits of deliberate practice - and worthless without one more requirement: Do it regularly, not sporadically.

    Why?
    For most people, work is hard enough without pushing even harder. Those extra steps are so difficult and painful they almost never get done. That's the way it must be. If great performance were easy, it wouldn't be rare. Which leads to possibly the deepest question about greatness. While experts understand an enormous amount about the behavior that produces great performance, they understand very little about where that behavior comes from.

    The authors of one study conclude, "We still do not know which factors encourage individuals to engage in deliberate practice." Or as University of Michigan business school professor Noel Tichy puts it after 30 years of working with managers, "Some people are much more motivated than others, and that's the existential question I cannot answer - why."

    The critical reality is that we are not hostage to some naturally granted level of talent. We can make ourselves what we will. Strangely, that idea is not popular. People hate abandoning the notion that they would coast to fame and riches if they found their talent. But that view is tragically constraining, because when they hit life's inevitable bumps in the road, they conclude that they just aren't gifted and give up.

    Maybe we can't expect most people to achieve greatness. It's just too demanding. But the striking, liberating news is that greatness isn't reserved for a preordained few. It is available to you and to everyone.

    ReplyDelete
  8. HUYU MZEE MAHITA ANATOMBWA KWELI HAVAI CONDOM SASA ANALIALIA ETI SIYO YEYE ALIYEMTOMBA HOUSE GIRL!

    FORMER Inspector General of Police (IGP) Omar Mahita
    FORMER Inspector General of Police (IGP) Omar Mahita, has filed an objection to the case filed against him by his former house girl, demanding maintenance allowances for his alleged eight-year old son.

    Hearing of the objection was to take place at the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam yesterday, but the session was postponed to November 17, as the presiding Principal Resident Magistrate, Pellagia Khaday, was not present.

    Magistrate Khaday is reported to be on leave till November 9.

    In the objection lodged by his advocate, Mr Charles Semgalawe, the then IGP wants the case lodged by Ms Rehema Shaban, dismissed because the court lacks jurisdiction to entertain the matter.

    Mr Mahita claims that such cases could only be heard by district courts and not Resident Magistrate's Courts. He also wants the case lodged against him on August 25, this year, dismissed because it was time barred.

    According to him, the mother of the child ought to have filed the case within the required period of one year after delivery of the baby.

    Last Friday, the then police chief filed before the court his defence against the claims and disowned the child. He denied having had any conjugal affairs with his former house girl.

    However, Mahita admitted to have hired Ms Shaban as house girl, but it was in 1995 in Moshi, Kilimanjaro Region when he was RPC and not in 1996.

    He claimed that Ms Shaban terminated her work the same year and they never communicated until 2003, when she approached him at his Oysterbay home in the city, demanding maintenance allowances for the kid as he was allegedly the father.

    Comment on this Story

    ReplyDelete
  9. tafadhali angalieni film inaitwa merchants of venice halafu tuendelee na mjadala huu.haya mambo yana historia yake.hiki kitabu cha william shakespare kilitafsiriwa na mwl. Nyerere kwa kiswahili.

    ReplyDelete
  10. wewe gama vipi hujatulia kabisa sasa matusi ya nini, kabebe box au umechoka kuosha vizee?

    ReplyDelete
  11. THIS MESSAGE IS FOR TANZANITE ANSWER TO YOUR COMMENT ABOUT TANZANIA...PLEASE READ IT ALL AND LET ME KNOW WHAT YOU THINK ABOUT THIS RECENT ARTICLE.....!

    Tanzania's privatization program saves treasury money, but critics skeptical
    The Associated Press

    Published: October 20, 2006


    DAR ES SALAAM, Tanzania There was a time in Tanzania, having a beer with friends meant queuing for hours. And even then you weren't guaranteed a drink.

    Then the government began to remove decades-old state controls on the economy and privatize state-owned companies. Beer and other goods became more readily available.

    And the government saved the US$100 million it spent each year subsidizing state-owned companies. Officials of the government's privatization body, the Parastatal Sector Reform Commission, see the regular and consistent supply of essential commodities as one more success of the privatization program launched in the early 1990s.

    "Before 1993, the country was facing severe shortages of essential commodities. People used to queue for their supplies, but now nobody is doing that and prices have stabilized," said Joseph Mapunda, the commission's spokesman. He added once dormant companies have been turned into viable enterprises.

    Mapunda acknowledges the switch to free enterprise has not been completely smooth, but disagrees with critics who say there have been serious problems. Chris Maina Peter, a professor of law at the University of Dar es Salaam, agree shortages have ended, but say Tanzania's privatization program has had more failures than successes.

    "The only company where one can say there was a turnaround was Tanzania Breweries," Peter said. "I remember in the old days it was impossible to get beer in Dar. But with the new management, you get beer."

    Tanzania, a former socialist country, nationalized many businesses in the 1970s and entrenched state control over the economy that saw close to 400 state-owned companies on government books by the time it changed direction.

    In some cases, potentially viable businesses remained closed for years, but the government continued to pay subsidies.

    An example was a state-owned paper mill that did not produce for 10 years because its management had failed. But Tanzania's treasury continued to pay a staff of about 800, said Mapunda. Since privatization, the new owners got the mill producing paper again within two years of buying it in January 2004 for US$1 million.

    Mapunda said that to date, the Parastatal Sector Reform Commission has privatized 322 state-owned companies by selling some government shares or entire companies or negotiating management agreements. Only 35 companies remain to be privatized and the commission is scheduled to complete its work in December 2007, Mapunda said.

    The privatization program also catalyzed the setting up of the Dar es Salaam Stock Exchange that began trading in April 1998. Through it, some formerly state-owned companies have sold their shares to the Tanzanian public. Seven of the nine companies listed on it are former state-owned companies, including Tanzania Breweries.

    Critics argue, though, that some new owners have not done better than the former state managers and some investors have simply mortgaged the companies' property, instead of injecting new money to finance revival and growth.

    "People have taken over companies, but they cannot develop them .... The government has not taken any steps to see that these people are taken to task," said Nicholas Mgaya, the deputy secretary general of the Trade Union Congress of Tanzania.

    Mgaya gave as examples an oil seed company, several sisal estates and a canning factory.

    Members of the Trade Union Congress of Tanzania have reported only a handful of formerly state-owned companies have been able to turnaround, make profits and pay workers well.

    "We have very few reports of successfully privatized companies. Tanzania Breweries Ltd., Tanzania Portland Cement Co. Ltd. and Dar es Salaam Airport Handling Co., these are the three cases, which have proved to be a success," said Mgaya. "It is rather fortunate that the investors (in those companies) have decided to behave in a good manner. That is why the workers are benefiting."

    Mapunda acknowledged not all the new managers were successful, but insisted the great majority of the 322 privatized companies were doing well. And he stresses a burden has been lifted from the government.

    The government was spending on average, "US$100 million a year in terms of subsidies to make the parastatals run. Now these subsidies are no longer being paid. In total, the parastatals had US$350 million in debts, loans and losses and further they were operating at 20 percent capacity on average," Mapunda said.

    Now, "the government is getting revenue through taxes (the newly privatized companies are paying). Production is above 60 percent on average," he said.

    Mapunda also said that between 1993 and 2003, Tanzania has seen 531 billion shillings, or US$756 million at the rates then, injected as new investment in the privatized companies.

    However, in recent months, Tanzania's privatization program has suffered reversals.

    In August, the government bought back for US$1 (€1) the 49 percent stake in the national carrier, Air Tanzania, it sold to South African Airways for US$20 million in December 2002.

    "The partnership did not operate within the agreed terms and conditions. This resulted in Air Tanzania Co. Ltd. performing poorly and it reached a point where we had to agree to an amicable divorce," Mapunda said, declining to give more details.

    Similarly, the country's only fixed line telephone company, Tanzania Telecommunications Co. Ltd., has had to advertise for new managers after its owners — the government and a private investor — disagreed on how the company was run and agreed to hire an independent management team.

    Mobile phone service provider Celtel International, which is based in Netherlands, bought 36 percent of the company in February 2001 for US$120 million and took over management control until 2005 when it agreed to re-negotiate its management contract with its fellow shareholder, the government.

    "We are very much on track and the problems are highly isolated compared to the total divestiture we have done so far," said Mapunda.

    "Government is not a good business manager. The government is a good administrator. That is why it is pulling out of business," said Mapunda.

    DAR ES SALAAM, Tanzania There was a time in Tanzania, having a beer with friends meant queuing for hours. And even then you weren't guaranteed a drink.

    Then the government began to remove decades-old state controls on the economy and privatize state-owned companies. Beer and other goods became more readily available.

    And the government saved the US$100 million it spent each year subsidizing state-owned companies. Officials of the government's privatization body, the Parastatal Sector Reform Commission, see the regular and consistent supply of essential commodities as one more success of the privatization program launched in the early 1990s.

    "Before 1993, the country was facing severe shortages of essential commodities. People used to queue for their supplies, but now nobody is doing that and prices have stabilized," said Joseph Mapunda, the commission's spokesman. He added once dormant companies have been turned into viable enterprises.

    Mapunda acknowledges the switch to free enterprise has not been completely smooth, but disagrees with critics who say there have been serious problems. Chris Maina Peter, a professor of law at the University of Dar es Salaam, agree shortages have ended, but say Tanzania's privatization program has had more failures than successes.

    "The only company where one can say there was a turnaround was Tanzania Breweries," Peter said. "I remember in the old days it was impossible to get beer in Dar. But with the new management, you get beer."

    Tanzania, a former socialist country, nationalized many businesses in the 1970s and entrenched state control over the economy that saw close to 400 state-owned companies on government books by the time it changed direction.

    In some cases, potentially viable businesses remained closed for years, but the government continued to pay subsidies.

    An example was a state-owned paper mill that did not produce for 10 years because its management had failed. But Tanzania's treasury continued to pay a staff of about 800, said Mapunda. Since privatization, the new owners got the mill producing paper again within two years of buying it in January 2004 for US$1 million.

    Mapunda said that to date, the Parastatal Sector Reform Commission has privatized 322 state-owned companies by selling some government shares or entire companies or negotiating management agreements. Only 35 companies remain to be privatized and the commission is scheduled to complete its work in December 2007, Mapunda said.

    The privatization program also catalyzed the setting up of the Dar es Salaam Stock Exchange that began trading in April 1998. Through it, some formerly state-owned companies have sold their shares to the Tanzanian public. Seven of the nine companies listed on it are former state-owned companies, including Tanzania Breweries.

    Critics argue, though, that some new owners have not done better than the former state managers and some investors have simply mortgaged the companies' property, instead of injecting new money to finance revival and growth.

    "People have taken over companies, but they cannot develop them .... The government has not taken any steps to see that these people are taken to task," said Nicholas Mgaya, the deputy secretary general of the Trade Union Congress of Tanzania.

    Mgaya gave as examples an oil seed company, several sisal estates and a canning factory.

    Members of the Trade Union Congress of Tanzania have reported only a handful of formerly state-owned companies have been able to turnaround, make profits and pay workers well.

    "We have very few reports of successfully privatized companies. Tanzania Breweries Ltd., Tanzania Portland Cement Co. Ltd. and Dar es Salaam Airport Handling Co., these are the three cases, which have proved to be a success," said Mgaya. "It is rather fortunate that the investors (in those companies) have decided to behave in a good manner. That is why the workers are benefiting."

    Mapunda acknowledged not all the new managers were successful, but insisted the great majority of the 322 privatized companies were doing well. And he stresses a burden has been lifted from the government.

    The government was spending on average, "US$100 million a year in terms of subsidies to make the parastatals run. Now these subsidies are no longer being paid. In total, the parastatals had US$350 million in debts, loans and losses and further they were operating at 20 percent capacity on average," Mapunda said.

    Now, "the government is getting revenue through taxes (the newly privatized companies are paying). Production is above 60 percent on average," he said.

    Mapunda also said that between 1993 and 2003, Tanzania has seen 531 billion shillings, or US$756 million at the rates then, injected as new investment in the privatized companies.

    However, in recent months, Tanzania's privatization program has suffered reversals.

    In August, the government bought back for US$1 (€1) the 49 percent stake in the national carrier, Air Tanzania, it sold to South African Airways for US$20 million in December 2002.

    "The partnership did not operate within the agreed terms and conditions. This resulted in Air Tanzania Co. Ltd. performing poorly and it reached a point where we had to agree to an amicable divorce," Mapunda said, declining to give more details.

    Similarly, the country's only fixed line telephone company, Tanzania Telecommunications Co. Ltd., has had to advertise for new managers after its owners — the government and a private investor — disagreed on how the company was run and agreed to hire an independent management team.

    Mobile phone service provider Celtel International, which is based in Netherlands, bought 36 percent of the company in February 2001 for US$120 million and took over management control until 2005 when it agreed to re-negotiate its management contract with its fellow shareholder, the government.

    "We are very much on track and the problems are highly isolated compared to the total divestiture we have done so far," said Mapunda.

    "Government is not a good business manager. The government is a good administrator. That is why it is pulling out of business," said Mapunda.

    ReplyDelete
  12. nasikia kizungu zungu. Tunakuomba mungu uingilie kati swala hili.

    ReplyDelete
  13. Hayo ya mahita...wapi DNA?

    Tusipoteze mda na pesa za umma kusikiliza kesi. Tengeneza janja ya DNA upsei. Kesi kwisha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...