bei ya fedha za kigeni dhidi ya madafu leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mda si mrefu tutaanza kwenda sokoni na vikapu vya Fedha. Kinachotia moyo Mama (Waziri wa fedha) amesema tusiwe na wasiwasi Uchumi wa TZ unakuwa vizuri tu.(Gizani?????)Gavana wa BOT anasema uchumi umedumaa. Hapa sijui nani ni mkweli?

    ReplyDelete
  2. Asante sana Michuzi unatusaidia sana sisi tulio nje kuona uchumi wetu na jinsi gani tuendelee kusaidia. Please keep it up. Thanks much.

    ReplyDelete
  3. Tafadhali nitafurahi sana iwapo utatuwekea pamoja na bei ya petroli. Hapo tutaweza kupata angalau picha iliyopo huko nyumbani.SKYPE = Slybobbins

    ReplyDelete
  4. kweli michuzi unatusaidia sana sisi tulio kiwanja kwani mara nyingine watu wanataka kuturusha kwa exchange rate bongo hapo!!naomba uwe unatuwekea hizi angalau kwa wiki mara moja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...