simba wa yuda mfalme haile selassie wa ethiopia alipokaribishwa bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. MWALIMU ALITAKA KU UNITE AFRIKA NZIMA ENZI HIZO.
    SASA VIONGOZI WA LEO MPO WAPI???

    KWANINI TUSIUNITE WAAFRIKA WOTE SASA .TUJENGE HIGH WAY MOJA KUTOKA ALEXANDRIA MPAKA DURBAN NATAL.
    NYINGINE KUTOKA DJIBOUT MPAKA SENEGAL .PIA TUWE NA VYUO VINGI AMBANYO VITA ADMIT WANAFUNZI KUTOKA NCHI ZOTE 53 ZA AFRIKA .BAADA YA HAPO TUTACHAGUA RAIS WA AFRIKA-TUTAMUWEKA BARAKA OBAMA KAMA ASIPOSHINDA UCHAGUZI WA 2008 AU TUTAMKABIDHI COLLIN POWELL -KWANI ANAHASIRA SANA NA BUSH KUHUSU DARFUR

    SEE YA'LL

    ReplyDelete
  2. Jina lako tu linahalalisha hayo maoni yako.

    ReplyDelete
  3. Greetings in the name of the most high I AND I Selassi I,Huyu ndiye mfalme wa wafalme.Jah live

    ReplyDelete
  4. sawa kaka mfalme wa wafalme, lakini Mengistu hakuelewa hiyo!

    ReplyDelete
  5. Michuzi,
    Blog yako imekuwa extremely slow.Nadhani huna budi kutoa au kupunguza hizo makala zilizoko upande wa kulia ukizingatia nyingi zake zimeshapitwa na wakati.Badala yake unaweza kuweka makala mbili tatu tu kwa wiki.

    ReplyDelete
  6. Ikumbukwe kwamba huyu bwana aliikimbia nchi yake wakati huo wa vita, tena basi alikimbilia ulaya... wakati wananchi wake wanapambana na majeshi ya Mussolini lakini wakawini vilevile kisha jamaa akarudi 1941.

    ReplyDelete
  7. kamanda wapi bwana moto umewaka katimua akarudi baadaye kushapoa...

    ReplyDelete
  8. Huyo ndiye Ras Tafari Mekonnen mwenyewe, mfalme wa mwisho katika kabila la Yuda, naye alitawala miaka 40 kama mfalme Daudi na Sulemani

    ReplyDelete
  9. mi sielewi kiundani kwanii rastafarian wanamchukulia haille selasie km masiha wao,lkn namkubali kwa kauli zake thabiti juu ya usawa wa binadamu.

    ReplyDelete
  10. Haka ka-mfalme kalikuwa na kajibwa kake kadogo...alikuja hakaachi nyumbani. Ka-mfalme haka kalikuwa kakiwatawala wale ambao hawakuwa katika ukoo wa ka-mfame haka, mithili ya watumwa....unyarubhanja (feudalism, per excellence). Zidumu fikra za Mangestu kwa kuwakomboa Wa-Ethiopia wote. Eti,urasta...kabila gani hili...bangi mingi! Holy weed! Cures all major maladies! We smoke it! Ya, ma'n, where is the mango, ma'n?

    ReplyDelete
  11. Ako ka-mfame ka Yuda kalikuwa na ki-mbwa kidogo kilichokuwa kinaandamana naye. Kalitawala wa_ethiopia wasio wa ukoowa kifalme mithili ya utumwa wa unyarubhanja (feudaliusm)!

    Lakini kameacha legasi kubwa ya kabila la Rastafarians huko Visiwa vya Karibeani (Jamaika hasa), Ulaya, Ethiopia, South Africa, na sasa Afrika, Bongo ikiwa ni mojawapo. Kuna kabila la ma-Rasta...bangi mingi! Cures all maladies! We s'moke it! Ya'man, we grow it me-yard! It Holyweed! Ya'man, me give the mango and my holyweed!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...