wodi ya kinamama katika taasisi ya saratani (cancer) osheni rodi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Je, tutafika? Kila hospitali ya wilaya kuwa na vitanda na safi kam hiyo! Ya Mungu mengi?

    ReplyDelete
  2. Wito kwa watanzania na serikali tuhamasishane kupima Cancer kwa wanawake(maziwa)kwa mwaka mara moja na wanaume over 40yld Prostete Cancer hii itapunga itadi ya vifo vya Cancer Tanzania.( wazazi wetu wengi tuu hawajawahi kupima hata mara moja vipimo hivi)Kumbuka kinga ni pora kuliko Tiba

    ReplyDelete
  3. Tusisahau pia mapafu kwa wavuta sigara. Twende tupimwe kwa colonoscopy - tupimwe mikundu na utumbo mkubwa kuepukana na kansa ya utumbo mkubwa!

    ReplyDelete
  4. Nyie mnaosema kusafi ni kwa sababu kwenye picha, chini kuna vumbi la kufa mtu. Je huko chooni mmeshawahi kufika? Jamani acheni kabisa yaani bado saaaaaaaaaaaana

    ReplyDelete
  5. Panaonekana pasafi...
    labda wangeanza kugawa vyumba ili wakina mama wawe na sehemu binafsi (private) ya kulala, hata kama wanatumia mashuka kuganya kila kitanda sehemu yake.......labda hii sio swala muhimu kwa sasa. Katika hii picha kuna kuwa hakuna privacy kabisa. Wananikumbusha mabweni ya sekondari.

    ReplyDelete
  6. Wengine wanaweza kuja na chawa!Wapatiwe nguo za Hospitali.

    ReplyDelete
  7. MUONA MBALI SUOMI,unapoongelea usafi ktk hospitali ni tofauti na nyumbani,sio jinsi gani unavyopiga deki na sakfu kung'aa,pia jinsi gani unavyotumia madawa(disinfectants kuzuia kukua kwa bateria sakafuni n.k,wagonjwa inabidi wapewe nguo maalumu za hospital kuzuia kuondoka na bateria na kuwapeleka nyumbani kwao,hospital acquired infection,kama wengine wanaweza kuja na MRSA n.k, na wengine kuwaleta hospitalini
    tujifunze zaidi magonjwa yanavyoenea na kuyazibiti,itakuwa vizuri kufanya kazi nyumbani Tanzania siku moja!na haki ya msingi ya mgonjwa ni privacy na confideality( usiri) sasa hapo inaonekana kama Nesi au Daktari akitoa maendeleo ya afya ya mgonjwa wengine wanasikia!
    na wadi imekuwa na watu wengi sana sina uhakika na mfumo mzima wa mzunguko wa hewa,kuna hatari ya kuaambukizo ya magonjwa ya yanayoenea kwa hewa(airborne diseases)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...