poleni mliozoea kuifanya sehemu hii pale ostabei (karibu na kilima nanihii kileeeee) kijiwe chenu. hivi sasa kweupeeeee kama muonavyo. si machinga pekee waliotimuliwa, vioski vyote dar sasa kaput!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kuna Bar maarufu ilikuwa hapo inaitwa Muhalibwa. Naona nayo wameondoa.
    Je Jacques pamepona?
    Ebu ndugu Michuzi tuletee picha tuone.

    ReplyDelete
  2. Michuzi embu tueleze pale sebuleni Jackie's na Didi's pamepona??

    ReplyDelete
  3. wadau wa jackie's msiwe na wasiwasi sebuleni penu pamesevu, uzuri ni kwamba pako mbali na mipaka ya barabara. hata kwa didi nako bomba, picha nitawaletea.

    Idd Mubarak!

    ReplyDelete
  4. POA, ASANTE MHESHIMIWA MICHUZI. KWA HABARI KUWA JACKIE'S PAMESEVU MANA TULIZANI NA JACKIE'S IKO NJIANI KATIKA OROZA YA KUBOMOLEWA. KINA ANNA KAHAMA NA GRUPU YAKE SIJUI ANGEFANYAJE? ANNA ALIKUWA ANAPIGA TUNGI HAPA KUANZIA MCHANA. TOOOOP.

    ReplyDelete
  5. Waajameni hapa Jackie's kuna waalakini, maana hapaaminiki kuna wizi wa magari na walinzi wenyewe wanahusika, ni bora tu Jackie's ndio ingefungwa. Wateja wa heshima wanapungua kila aliyekutwa na mkasa amesambaza habari za yalowakuta. msiende na kupaki magari yenu au kama hamna pa kwenda basi bora kwenda kwa miguu pakini magari yenu sehemu nyengine.

    ReplyDelete
  6. FAFANUENI VIZURI hapa JACKIE'S kweli hapana sifa nzuri tena. LAKINI kuhusu wizi mfafanue vizuri sio wizi wa magari mazima mazima uliokuwepo hapa. HAPA BWANA UKIPAKI GARI LAKO JACKIE'S KUNA WIZI WA KUVUNJA VIOO MADIRISHA NA KUNYAKUWA VITU VYOTE ULIVYOACHA MWENYE GARI LAKO, PAMOJA NA KUNYAKUWA RADIO, NA PIA HATA TAA ZA NJE. NA WALINZI WENYEWE WA HAPA JACKIE'S WANAHUSIKA. Polisi imejaribu kutatua tatizo hili kwa watu walioripoti mikasa hii iliyowakuta kwa kupaki magari yao Jackie's LAKINI HAKUNA MAFANIKIO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...