mgonjwa wa saratani 'akichomwa' kwa mashine ya kisasa na salama dhidi ya mionzi ya radiesheni aina ya cobalt 60 katika taasisi ya saratani osheni rodi. mashine hii mpya imenunuliwa kwa 1bn/-, ingine iko njiani na moja zaidi inatakiwa ili kukidhi mahitaji. inapatikana canada kwenye kiwanda cha md nordion, na mwito umetolewa wa kuomba wasamaria wema msaada ipatikane.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. michuzi samahani,ila kuna marekebisho kidogo yanahitajika katika post hii.HAKUNA mionzi iliyo salama.naona umeandika kuwa mashine hii ya mionzi ya cabalt 60(a radioactive substance) ni salama.

    ReplyDelete
  2. 1 Billion.. Kila mtanzania akitoa shillingi hamsini (Tsh 50/=)tunapata 1 Billion. Kama wakihamasishwa hili linawezekana. Na linawezekana zaidi kama tukitoa priority kwa mambo kama hayo na kuacha sijui semina zisizo na mpango zanazotumia mara tano ya hiyo.

    ReplyDelete
  3. Michuzi,

    Machine kama hizo sidhani kama zinauzwa bilioni moja. Labda kuna 10% ya wakubwa.

    Ni vizuri kuwa na machine hiyo na muhimu pia ni kuitunza.

    Ila kwenye bei inaelekea tunaibiwa sana.

    ReplyDelete
  4. JE Michuzi aliyelala hapo ni yule MAMA KAHAMA? kafanana nae kidogo kwa chati. na anasitahili kuwa hapo.

    ReplyDelete
  5. Kweli ni kama JANET KAHAMA huyo. mola alimlani na kupata mtoto msenge, na mwingine mlevi kama yeye yule ANNA KAHAMA, na reputation yake kwa kushindana na wanaume, amedolola sasa, wazungu hola, mwafrika mmoja kajitokeza kusema kuwa si wazungu tu hata yeye mwafrika kamla pia na anaweza kutoa data akiwa uchi mwili wake ukoje.

    ReplyDelete
  6. BONGO TUNA MAENDELEO SANA SIKU HIZI HIVI NI KWASABABU YA WAEKEZAJI AMBAO SI WABONGO? MAANA HATA HII HOSPITALI YA HAPA AGA KHAN UFIKAPO SIKU HIZI NI KAMA ULAYA.

    ReplyDelete
  7. sasa nyie hapo juu kama ni huyo mama inatuhusu nini sisi hapa mbona mko hivi hamna cha kuchangia nini?

    ReplyDelete
  8. EMBU ANONY HAPO JUU NISAIDIE,WATU KWA UNAFKI,KAMA MNA CHUKI ZENU BNAFSI MNATULETEA HAPA ILI IWEJE?UPUMBAVU WENU PELEKENI HUKOHUKO USWAHILINI KWENU.SIJUI MSENGE,MLEVI,SI UGAWE NA WEWE.SHENZI TYPE.MICHUZI KAWEKA MADA INGINE NA NYIE MNALETA UPUMBAVU HAPA.

    ReplyDelete
  9. POLE SANA DADA HAPO JUU, INAONEKANA LABUDA HAWA WATU AU HII FAMILIA INAKUHUSU NINI,?
    KAMA UNAVYOJUA HII BULOGU WATU WANAINGIA KWA MAONI TAFAUTI HATA HASIYOHUSIKA NA PICHA, THAT IS THE WHOLE POINT. KAMA NI MGENI KATIKA HII BULOGU BASI TUTAKUPA BENEFIT OF A DOUBT NA NAKUSHAURI UTEMBELEE BULOGU NZIMA NA PICHA ZOTE USOME MAONI UONE YANAYOMWAGWA. INGIA TOA MAONI YAKO YASIYOKUHUSU ACHANA NAYO. INAONEKANA NI WEWE HUNA KAZI ILA KUSOMA NA KUSHAMBULIA YA WENGINE.
    NI SWALI LA KWANZA LIMEULIZWA KAMA KAWAIDA "JE HUYO NI MAMA KAHAMA ALOLALA HAPO" NA WA PILI ALIYOSEMA PIA NI YA KWELI OBVIOUSLY WHOEVER IT IS KNOWS THE DAMNED FAMILY ONLY TOO WELL.
    KILA MWANANCHI ANA HAKI YA KUINGIA KUULIZA SWALI NA KUTOKA MAONI, NA NDIO HIVI TUNAPATA HABARI. SAWA BWANA.? HAMNA CHA CHUKI WALA NINI, UZURI WABONGO BWANA HUWA WANAMWAGA UKWELI.

    ReplyDelete
  10. Michuzi unapokuwa huko kwenye futari za matangazo,harusi za kifahari,misafara ya waheshimiwa huko ng'ambo n.k. ni nafasi nzuri ya kuhamasisha hao wenye mshiko kuchangia mashine kama hizi sio wanatanua tuu huku kuna mambo nyeti kama haya yanaboronga!Vilevile mashine hizi hazitengenezwi nchi moja tuu tena kwa bei ya kuruka majoka, inaelekea hapo kuna dili la mtu.Wahusika wajaribu kuangalia makampuni mengine kama philips[Holland],siemens[Germany],general electrics[USA],hitachi,matsushita,toshiba[Japan]
    daewoo,samsung[s.korea]n.k. vifaa vipo na kwa bei poa tuu!Mambo ya bongo hayaeleweki tena kigeugeu mno ndio maana wengine tumeamua kuondoka huko na hivi sasa tunaendelea vizuri huku tulipo kwenye fani zetu baada ya kupokewa mikono miwili na wenyeji.bongo tulikuwa tunahujumiwa mno na majungu mengi kisa kijana msomi anajifanya mkweli atatuharibia dili hapa!

    ReplyDelete
  11. SASA WEWE MICHUZI NAONA SIKU HIZI UPOST COMMENT BILA KUIPITIA NA KUIHAKIKI KAMA NI YA MAENDELEO, SASA HUYO JAMAA HAPO(ANONY 5:03) NA MATUSI YAKE UMEWEKA, JE UNAFURAHIA WATU WAKITUKANWA??

    ReplyDelete
  12. http://www.elekta.com/

    hii kampuni iko atlanta,georgia inauza instruments nyingi za kutibu cancer..

    ReplyDelete
  13. Weye unayejiita SKETIHOLDA acha unanihii hapa. unaelewa maana ya matusi weye??? Eboh usituletee ujinga hapa na usimfundishe MICHUZI KAZI, KWANI NI RESPECTABLE JOURNALIST na anaelewa wazi lugha safi na chafu ndio maana katoa hayo maoni ya huyo jamaa. kwani inaonekana anajua anaongea nini, NI UKWELI KAONGEA NA SIO MATUSI. au hauko hapa mjini, hujui habari hizi? Jamani kama huna la maana la kusema kaa pembeni, acha wengine waendelee, maana huna lolote la maana ulilonena hapo kwenye comments zako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...