flaviana matata, binti yetu ambaye ni mmoja wa warembo 10 babu kubwa duniani, katua dar masaa machache yalopita na dege la qatar airways na kupokewa kwa shangwe na wadau mbalimbali, ikiwa ni pamoja na maria sarungi-tsehai (nyuma yake, picha ya juu) pamoja na bosi wa masoko wa qatar airways tawi la dar teddy mapunda (anaenyoosha kidole picha ya chini) na wengineo. maria kanambia kwamba flaviana imebidi arudi leo na sio jumamosi kama alivyosema awali kwani viza ya binti yetu huyu ilikuwa imeisha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2007

    Hongera na karibu nyumbani

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2007

    hah hah ha ha yaani Mexico hawa kummwachia kukaa hata siku moja zaidi? Hivi walizania mbogo anataka kuzamia nchi yao kweli wakati wao wanaikimbia na kuhamia USA?

    ReplyDelete
  3. Welcome back home Flavy! Asante na hongera kwa kuwakilisha Africa in general na Tanzania in particular!

    Mungu ibariki Tanzania, viongozi na watu wake

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2007

    Sikuwa namjua Maria, Maria angeshinda!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2007

    hongera sana flavia. jamani hawa wabunifu vipi mbona mnamvalisha mrembo wetu magauni mabaya?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2007

    MICHU ama Mdau yoyote - mnaweza kuniambia huyu maria sarungi ni nani? ni mtoto wa yule aliekuwa waziri philemon sarungi? huyu dada alisoma jangwani?

    Hongera sana maria na flaviana kwa kuwakilisha taifa letu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 31, 2007

    Ni kweli hilo gauni mh...tukisema tutaambiwa tumezidi. Lakini hilo gauni sijui nini nini kweli hebu angalieni tu jamani.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 31, 2007

    flavia kavalishwa nguo mbaya sana angetoka tu simpo kwanza liji gauni rangi ya ajabu! alafu ya kimtoko mtoko angevaa kisimple top labda na trousers au kapris ambazo zingeweza kubuniwa kitamaduni sasa mgauni utafkiri anaenda harusini mtu unapna wakati umesafiri?alafu zaidi rangi ya ajabu kwakweli haya ni maoni tu ila binti ni mzuri sana.maria mbna hukugombania manake u mrembo ati ila sasa mama pinki na redi haviendani top pink viatu redi?ru color blind>?ndo mana flavy anachemsha manake boss wake mwenyewe......

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 31, 2007

    mmmh annony wa hapo juu nakubaliana nawe,jamani mrembo wetu wanamvalisha magauni hata bibi zetu hawajawahi kuyavaa,niajeee jamani!! mbona wabunifu ni wengi bongo afu mnakubali kwenda na magauni kama hayoooo,hee weee Maria hukuyaona hayo yote!! hongera sana flavy,sasa kaza buti mwana,achana na mapromota wachovuuuuu,wee kula kona kwene agency za nje achana na wabongo wenye rushwa,watakuliza bureeee uone ushindi wako ulikuwa bure. Fanya kazi na wadhungu sasa

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 31, 2007

    nakubaliana na aliyesema kwamba wanamvalisha vibaya huyu mrembo. Mmh Teddy Holo/Horo amekuwa kipande cha mama

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 31, 2007

    Hongera Flaviana na asante kwa kuiwakilisha vyema Tanzania.

    Samahani inabidi nitoe hii comment. Lakni hizi nguo anazovaa bado kabisa hawajampatia kwa nini wanamvisha nguo kubwa kuliko? Vaa nguo kulingana na umbo lako hata kama ni za heshima lakni lazima ziendane na umbo lako wewe ni model bwana uwezi ukavaa nguo zinaning'inia kushoto na kulia you have to represent at all times and at all places.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 31, 2007

    Duuuuh! haya magauni ya Kizimbabwe bado mnaendelea nayo tuu!....Au ndio uvaaji wake?
    Hivi huyu Flaviana mkazi wa wapi?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 31, 2007

    Hongera binti.Naona una tuzo mkononi pale.Very nice.

    Qatar ndege nzuri sana and cheap too..We bosi wa masoko acha kupozi kwenye picha za watu..Ebo..Maria mwenyewe hajashadidia picha kama wewe hapo..Mbaff!

    Ebana ni kweli wardrobe ya huyu dada inabidi iangaliwe kwa upya..Avalishwe uzuri..

    Ni hayo tuuuuu!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 31, 2007

    Hongera sana dada na karibu home hata kama wamekataa kukuongezea hata masaa 24 mengine poa tu lakini ukweli wameuona, sasa vipi jamii hata kiongozi mmoja wa serikali hakuwepo? hii kweli inakatisha tamaa sana,hiyo wizara ya utamaduni na michezo iko wapi? au walikuwa kwenye semina?

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 31, 2007

    Welcome back!

    Nimemuona TVT akiingia na kucheza ngoma - what a reception!

    Hivi huyo mdosi nyuma ya bendera ya Flaviana aliye vaa sangogols ni nani? Manake wakati wa kutoka VIP alikuwa amemuweka Flaviana ubavuni kama vile mali zake.......au ni mali zake hizo???? Booking zimeshaanza nini - nilikuwa nasubiri niwahi eapoti jumamosi ili nianze bidding yangu, sasa inawezekana nimechelewa!!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 31, 2007

    Hongera flaviana sana sana . Ila jamani wabunifu naona hawajui jinsi ya kumvalisha mtu asiye na nywele maana nguo anazovaa zikwia ndefu hapendezi sijui mimi tu naona hivyo au? hebu wajitahidi jamani kumvisha nguo za kueleweka sio kumpa nguo avae kisa sponsor sijui niniw akati hapendezi!!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 01, 2007

    HONGERA FALVIANA.
    LAKINI MBONA UNAVALISHWA MAGAUNI MABAYA SANA SIKU ZOTE. SASA HILO JIGAUNI ULILOLIVAA HALINA TOFAUTI NA KANZU ULILOVAA AS EVERNING DRESS. INABIDI USHUKE KI MISS, FIND QUALITY MATERIAL DADA. BUT PROUD OF YOU. HONGERA SANA.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 01, 2007

    Huyo mzee mwenye suti mbaya kuliko zote duniani anafanya nini hapo pembeni..! au ndio mganga wake nini?

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 01, 2007

    NASIKITIKA KUCOMMENT HIVI....nguo ni MBAYA MNO! hazimfai flavy, flavy ur a model u shud dress lyk one n be lyke one, wewe ni mzuri ila hayo magauni wakina sarungi wanayokuvalisha HAPANA!! ule mgauni uliovaa mweupe kama evening dress kwanza ulikuwa Mkubwa manake sehemu ya kifuani pale unapoweka nido ilikuwa kubwa wameshona cup kubwaa inaninginia utafkiri mtu hujavaa bra! kwanini?kwani hawakukupima alafu nguo haikukushika vizuri hata kidogo.

    Mbili, kuna ka gauni ka-tube(kanaanzia kifuani)kama kitenge hivi cha red ivo ivo hakijashika kifua vizuri ttzo nn?hawana kipimo cha huyu binti au?

    Tatu, hili gauni alilovalishwa mtu kweli safarini unapanda ndege achilia mbali rangi yake mbayaaaaaaaaaaa sana na mshono wake wa ajabu!! mtu unasafiri na mgauni?aiseee hata kama!!!

    ni hayo tu............

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 01, 2007

    nimependa nwele zako, watanzania wanaenda kwenye natural eeeh?! nakaaya, sasa wewe, im curious who is next!!! beautiful

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 01, 2007

    The Hair Revolution Will Start In Tanzania
    Written by B.C. Lorio
    Published May 30, 2007


    For the last ten years, I have tried to convince many women to go bald for the summer. Okay, often, this is done in jest because I grow tired of hearing my sister and close friends complain about their hair and how hot it is to be a Black woman during the summer time. Being a Black man, I know that the end of May means only one thing: time to cut it off.

    It all started the day after I graduated high school. Picture this. It is 1991, The Chicago Bulls are getting set for their historic run of basketball championships. The Atlanta Braves are in the midst of a season for the ages as they are making a serious run at a division title for the first time since 1982. And I'm sporting a high-top fade.

    Yes, like Kid from Kid & Play. Like the Aaron Hall and Teddy Riley from Guy. Like Bell Biv DeVoe. Basically, like any other Black man on the popular culture and sports scene.

    Figuring that my high school graduation is a milestone in my life. And the fact that Iowa summers are long, hot, and humid. I decided that I need a new look. And I cut it all off.

    Suddenly, everyone is commenting on my new look. Girls are flocking to me. And I suddenly felt liberated. Well, the last comment wasn't exactly true. But I did feel like a new man. And the summer of 1991 felt cooler. Not only as a state of mind but also physically, I felt cooler.

    Miss TanzaniaI do realize that a woman's hair is her treasure. The most famous lock of the last ten years belonged to Kimberly Russell. In fact, the eponymous character "Felicity" was universally known, not because of great ratings, but because of her hair. Yet, when Russell cut her hair in real life, the show's already low ratings fell even lower. She had to wear a wig in order to pacify the few fans still watching the show.

    I also know that women cut their hair after traumatic experiences. It has been explained to me that it is a feeling of liberation and a literal expression of cutting off their ties to the past. With that in mind, I still like the bald look. On some women. With the right kind of heads. I think the look is different. And not really all that shocking.

    Women love to ask men, "What do you find most attractive about me?". If the hair was cut short, a man could reply, "Your eyes!" with all due sincerity because no hair means that the eyes would be highlighted.

    Plus, more women could pull off the "get up and go" look. Just wake up. Shower. Throw on some Dax or Duke. And away you go! No worries about the humidity and the forecast for rain. Yet, I know that my pleas will fall on deaf ears.

    So, I'm thankful that Miss Tanzania chose to sport her dome with pride during yesterday's Miss Universe pageant. Maybe, just maybe, my sister and friends and others will realize that bald truly can be beautiful!
    www.blogcritics.com

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 01, 2007

    We michuzi twambie, karudi nyumbani, hii habari visa yake imeisha ni irrelevant,michuzi sometimes you talk cheap

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 01, 2007

    Hivi kaka Michu,gauni lile"jeupe"ambalo hasa ndilo lilitukosesha sisi watz ushindi kwa"mwanamke wetu Flaviana"lilitengenezwa na"designer"wa kitz Hassanali au??
    Kama Hassanali ndiye alilitengeneza gauni lile"baya"adhabu yake ni kupigwa bakora hadharani,manake halikutoa kabisa dada yetu
    lets me know kaka Michu,nani hasa alitupokonya ubingwa huu kwa kutumia hila ya kumpa auni baya"jeupe "dada yetu?

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 01, 2007

    we anony hapo juu aliedesign nguo ni designer mmoja wa zanzibar pia anawork london anaitwa farouque...lile gauni kubwa kama anony mmoja alivosema hapo juu cups zilikuwa kubwa na inaonekana vipimo vilikuwa vikubwa ila cha kushangaza mtu unatengenezewa nguo hata hujaribu?noma sana ..bora wangempa deal hassanali ila waliogopa bei si unajua these stingy idiots hu just think of themselves....au hata ailinda sawe wa afrika sana angeweza kidogo kuliko hiyo mi gagulo

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 01, 2007

    UK miss wao ni bomu kweli labda ni ukiritimba ulitembea huko. Nimeangalia hiyo link kuna wawili nimewaona kamera walikua much better

    Huyo mwandishi wa habari ya wanawake kuwa bold kachemsha. HIVI TANZANIA KUNA SUMMER SEASON KWELI? Au wanajisemea tu. ha hah hah

    waandish wa habari bongo kuweni makini na habari zenu.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 01, 2007

    HONGERA FALVIANA ILA CHANGE KABATI NA WANAOKUVALISHA. I HOPE MARIA SARUNGI ANASOMA HIZI COMMENTS NA KUZITILIA MAANANI.
    PILI NIMEANGALIA MS.UK. WOTE WAZEE, SIJUI KAMA KUNA WASICHAN WAZURI HUKO UK AMA HAO NDIO WALIOKUWA NAO KAMA NDIO HAO POLENI!!!

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 02, 2007

    Flavia there are more fish in the sea but watch out for tha sharks

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 04, 2007

    jamani sarungi wewe mwenyewe take a closer look of this horrible dress designed by dat top designer unaeona alifanya kazi nzuri sanaa http://darhotwire.com/dar/Maisha/2007/06/04/33377.html ......we unategemea angetengeneza nguo nzuri kama ya miss venezuela

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 04, 2007

    MISS UK aiseeeee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...