bosi wa masoko wa vodacom tz ltd ephraim mafuru akiongea na waandishi leo
ephraim mafuru akipeana mikono na mkurugenzi wa miss tz anko hashim lundenga leo, na chini mwandishi mwandamizi iche mang'enya akiuliza swali kwenye mkutano huo wa leo
kwa mujibu wa afisa uhusiano wa kamati ya miss tz mh. ricco haidan, ambaye ndiye katuletea snepu hizi, V odacom TZ Ltd, leo wametangaza azma yao ya kuendeleakudhamini mashindano ya urembo ya Miss Tanzania kwa muhura mwingine wa mwaka 2008
kama kawaida, Vodacom watatoa udhamini pia kwa baadhi ya mikoa, wilaya na vitongoji vya mkoa wa DSM.
Vodacom Tz Ltd inatarajia kutumia kiasi cha shilingi millioni 600 katika kufanikisha mashindano ya urembo ya Miss TZ kwa mwaka 2008
amesema bosi wa masoko wa Vodacom TZ Ltd., Ephraim Mafuru.

Kuna mtu ana contact zozote za Iche Mang'enya kama email or 4ne number??? Michuzi pls help me out.
ReplyDeleteThanks
Hey Mafuru, Mambo vipi towasiliane nipo hapa UK, Tumesoma wote CBE, njoo tupate kinywaji kabla hujarudi – wako wapi kina Kabeho, Paul, Kamugisha, Rwechungura, Mkingule, Bash, Kazeze to mention few ebwana tuwasiliane WOTE2000@YAHOO.COM - Mukinda
ReplyDeleteWasanii watupu hawa waandaaji wa Miss Tanzania, kila mara kutuaibisha tu...
ReplyDeleteDADA MANKA CHANCE HIYO LABDA UKIWA MISS TANZANIA UNAWEZA KUPATA NUMBER TISA BILA YA TABU TENA HATA KUMI UNAWEZA UKAWAPATA KWA WINGI
ReplyDeleteYah! Hayo ndio maendeleo, ndugu yangu Iche na wewe siku hizi unavaa suit, bomba kaka watasema sana lakini wengi huwa hawana suit za kuvaa, wasiwasi wangu tu ni kuwa na joto hilo la hapo nyumbani utahimili na suit yako? au kaka siku hizi una usafiri? nice to see you brother!!
ReplyDeletekatika hiyo millioni 600, pasu la mafuru ni ngapi?
ReplyDelete600 za simu zenu mnazopiga na kubeep tena umenunua simu yako mwenyewe jamani simu zinatolewa na host these days. Usingiziiii mziitoooooooo bado
ReplyDeleteIche ndaniya nyumba Haaaaaa
ReplyDeleteHizi hela mbona ni nyingi na zingeelekezwa kwa wahitaji/needy people! u Miss bado safari ndefu, why kupoteza milioni zote hizo na hali tunajua Tz haitakaa itoe Miss world. I am sure, not in this generation, may be wajukuu wa wajukuu zetu.
ReplyDelete