EK FOOTWEAR COLLECTION for Ladies & Gents ni duka linalotingisha jiji kwa sasa kwa viatu bomba vya kike na vya kiume kutoka Spain, USA na UK.
Duka hili lipo ndani ya Benjamin William Mkapa Towers (Zamani Mafuta House) ghorofa ya chini.
kwa habari zaidi picha simu namba:
+255 22 5509 048
ama
+255 773 264 243
kazi kwenu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2008

    GHOROFA YA CHINI...KAMA SIJAKOSEA NI NI BEZMENTI...NITAPATAFUTA...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2008

    Hongera Da Esther Kasubi a.k.a Queen big up!!!!!!! wanawake na maendeleo. Business luncheon lini?

    ReplyDelete
  3. Hello, Hongera sana mjasiriamali, where there is a will there is a way!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2008

    Hongera Mjasiriamali, where there is a will there is a way!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2008

    hongera sana kuna viatu vizuri sasa fungueni na mikoani.
    sweet
    Arusha.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 16, 2008

    Hongera sanaa... ila umekosea kiswahili .... "kwa habari zaidi PICHA simu namba" nahisi ulikuwa namanisha ""kwa habari zaidi PIGA simu namba"....

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 16, 2008

    HONGERA DADA, HAYA NDIYO MAMBO. WAKINADADA TUNASEMA AJIRA ZIPO JAMANI, NA MJUE KARNE HIZI BWANA SI KAMA ZA WAZAZI WETU AMBAO BABA AENDA KUFANYA KAZI NA KULETA MLO NYUMBANI. WAKATI MAMA ZETU WANAKAA TU HOME KULEA WATOTO.
    KARNE HII BWANA KINADADA TUNAWAHESHIMU NA KUWAPENDA ZAIDI MKIWA NA KIPATO CHENU.
    NIMEONA AWALI MAONI MENGI YA WADAU WAMEDIRIKI KUTOA USHAURI KWA KINADADA KAMA--LILIAN MZIRAY--WASAIDIWE KUPATA AJIRA. SIO TU KUWA GOLIKIPA'S.
    CHANGAMKIENI TENDA. HONGERA DADA MWENYE DUKA HILI KWANI DAR BWANA HAKUNA DUKA LA VIATU POA, VYOTE UTAKUTA VYATOKA CHINA, UKIVAA SIKUMBILI SOLI IMETOKA. MOLA AKUBARIKI UPATE KUFUNGUA PIA NA MIKOANI.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 16, 2008

    biashara matangazo, nanukuu..."..kwa habari zaidi PICHA simu namba..." !!??? definitely a typo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...