EK FOOTWEAR COLLECTION for Ladies & Gents ni duka linalotingisha jiji kwa sasa kwa viatu bomba vya kike na vya kiume kutoka Spain, USA na UK.
Duka hili lipo ndani ya Benjamin William Mkapa Towers (Zamani Mafuta House) ghorofa ya chini.
kwa habari zaidi picha simu namba:
+255 22 5509 048
ama
+255 773 264 243
kazi kwenu...
GHOROFA YA CHINI...KAMA SIJAKOSEA NI NI BEZMENTI...NITAPATAFUTA...
ReplyDeleteHongera Da Esther Kasubi a.k.a Queen big up!!!!!!! wanawake na maendeleo. Business luncheon lini?
ReplyDeleteHello, Hongera sana mjasiriamali, where there is a will there is a way!!
ReplyDeleteHongera Mjasiriamali, where there is a will there is a way!!
ReplyDeletehongera sana kuna viatu vizuri sasa fungueni na mikoani.
ReplyDeletesweet
Arusha.
Hongera sanaa... ila umekosea kiswahili .... "kwa habari zaidi PICHA simu namba" nahisi ulikuwa namanisha ""kwa habari zaidi PIGA simu namba"....
ReplyDeleteHONGERA DADA, HAYA NDIYO MAMBO. WAKINADADA TUNASEMA AJIRA ZIPO JAMANI, NA MJUE KARNE HIZI BWANA SI KAMA ZA WAZAZI WETU AMBAO BABA AENDA KUFANYA KAZI NA KULETA MLO NYUMBANI. WAKATI MAMA ZETU WANAKAA TU HOME KULEA WATOTO.
ReplyDeleteKARNE HII BWANA KINADADA TUNAWAHESHIMU NA KUWAPENDA ZAIDI MKIWA NA KIPATO CHENU.
NIMEONA AWALI MAONI MENGI YA WADAU WAMEDIRIKI KUTOA USHAURI KWA KINADADA KAMA--LILIAN MZIRAY--WASAIDIWE KUPATA AJIRA. SIO TU KUWA GOLIKIPA'S.
CHANGAMKIENI TENDA. HONGERA DADA MWENYE DUKA HILI KWANI DAR BWANA HAKUNA DUKA LA VIATU POA, VYOTE UTAKUTA VYATOKA CHINA, UKIVAA SIKUMBILI SOLI IMETOKA. MOLA AKUBARIKI UPATE KUFUNGUA PIA NA MIKOANI.
biashara matangazo, nanukuu..."..kwa habari zaidi PICHA simu namba..." !!??? definitely a typo
ReplyDelete