'Iwapo unauza gari aina hii au unafahamu mtu mwenye kuuza gari kama hii wasiliana kwa simu 0713 223 345.
Iwe inatembea, na iwe ni ya urefu huu huu (short chassis), lisiwe nje ya Dar es Salaam.'Naambatanisha na picha mkuu.
Asante kabla ya kazi, natanguliza.
Bob Sankofa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2008

    duuu hii jamaa wamesha inywa jamaa anatafuta information tu
    ok

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2008

    We la nini????

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2008

    Bwana unayehitaji gari hiyo bahati mbaya umesema nje ya Dar huitaji lakini kuna kifaa kikali kipo hapo mji Moshi - aina hiyo hiyo kinapaki maeneo ya Buffalo Hotel ila sidhani kama wanakiuza kipo makini sana nitaomba picha siku moja nipost kwenye blog Michuzi akikubali

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2008

    AKSANTE SANA BWANA MSEE WA June 28, 2008 6:33 PM KAMA HAWAKIUZI TUWASILIANE UNIPE BEI YAKO TUKUBALIANE KABSA. TAFADHALI TUWASILIANE MEKU.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2008

    ina maana unataka kuniambia ni kweli uko makini kuwa unataka kununua gari kama hili? wewe gari ya kizamani ya nini, wabongo bwana ukiona hivyo basi ujue kesha ambiwa kuwa inadumu muda mrefu.inabidi mbadilike jamani kwani yale mambo ya kizamani ya kutengeneza gari linalo dumu kwa miaka mia hayapo tena siku hizi, magari siku hizi yanatengenezwa kulingana na wakati, unaona mwenyewe hapo kwenye hiyo picha kuwa hilo gari liko kwenye maonyesha kama kumbukumbu kwani kwa nyuma yake unaona liko lingine ambalo ni model yake ya kisasa ndilo unalo takiwa ulinunue wewe mpare . wewe unataka ukae na gari miaka mia halafu kiwanda kifungwe au?
    mchawi sio lazima awe na kijumba cha kinyamkela uwani kwake

    mbega hapa

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 29, 2008

    jamani hili LIMPEGA ni lipi?au ni lile la uk?msipende kuharibu majina ya watu,kwa taarifa yako gari kama hiyo ni classic car ulaya,bei yake unaweza pata gari rav 4 mnazogombania bongo,mpega fungua macho.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 29, 2008

    why did land rover 109 have a spare tire on top of the hood(bonnet)?????????

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 30, 2008

    Kuna moja Nimeiona Hapo Mitaa ya Easton hapa Bristol, jamaa anasema anapost weld waid atakutumia kama gift so usihofu mambo ya ushuru...
    Ukibadilisha wazo nunua bito mzee, nnayo moja hapo hapo Dar, tuwasiliane ukiitaka

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 30, 2008

    Amkeni wabongo, huyu hana lolote ni ana hiyo Website alitaka muijue
    Maana ukiangalia tangazo halina uwiano na website, unaweka website km ni kuna fomu ya kuaplai kuuza hilo gari au km maelezo zaidi ya hiyo bidhaa yapo humo au km unataka kuthibitisha we ni mtu fulani wa biashara hizo
    ...Wajanja tunaita CHANGA LA MACHO Hilo, we misupu nae unakosa hela za waziwazi sijui nini maana ya moderation unayofanya! Sijui labda uniambie! teh teh teh

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 30, 2008

    Kichwa cha Post kiwe kinaleta maana, kichwa ni Gari kisha huku chini ni mauzo
    kichwa kiwe "Gari iantafutwa" mpaka lini tutakuwa makini
    halafu mbona nimeenda hiyo site huya Sankofa simwoni naona wananchi wengine tu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...