Home
Unlabelled
gari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duuu hii jamaa wamesha inywa jamaa anatafuta information tu
ReplyDeleteok
We la nini????
ReplyDeleteBwana unayehitaji gari hiyo bahati mbaya umesema nje ya Dar huitaji lakini kuna kifaa kikali kipo hapo mji Moshi - aina hiyo hiyo kinapaki maeneo ya Buffalo Hotel ila sidhani kama wanakiuza kipo makini sana nitaomba picha siku moja nipost kwenye blog Michuzi akikubali
ReplyDeleteAKSANTE SANA BWANA MSEE WA June 28, 2008 6:33 PM KAMA HAWAKIUZI TUWASILIANE UNIPE BEI YAKO TUKUBALIANE KABSA. TAFADHALI TUWASILIANE MEKU.
ReplyDeleteina maana unataka kuniambia ni kweli uko makini kuwa unataka kununua gari kama hili? wewe gari ya kizamani ya nini, wabongo bwana ukiona hivyo basi ujue kesha ambiwa kuwa inadumu muda mrefu.inabidi mbadilike jamani kwani yale mambo ya kizamani ya kutengeneza gari linalo dumu kwa miaka mia hayapo tena siku hizi, magari siku hizi yanatengenezwa kulingana na wakati, unaona mwenyewe hapo kwenye hiyo picha kuwa hilo gari liko kwenye maonyesha kama kumbukumbu kwani kwa nyuma yake unaona liko lingine ambalo ni model yake ya kisasa ndilo unalo takiwa ulinunue wewe mpare . wewe unataka ukae na gari miaka mia halafu kiwanda kifungwe au?
ReplyDeletemchawi sio lazima awe na kijumba cha kinyamkela uwani kwake
mbega hapa
jamani hili LIMPEGA ni lipi?au ni lile la uk?msipende kuharibu majina ya watu,kwa taarifa yako gari kama hiyo ni classic car ulaya,bei yake unaweza pata gari rav 4 mnazogombania bongo,mpega fungua macho.
ReplyDeletewhy did land rover 109 have a spare tire on top of the hood(bonnet)?????????
ReplyDeleteKuna moja Nimeiona Hapo Mitaa ya Easton hapa Bristol, jamaa anasema anapost weld waid atakutumia kama gift so usihofu mambo ya ushuru...
ReplyDeleteUkibadilisha wazo nunua bito mzee, nnayo moja hapo hapo Dar, tuwasiliane ukiitaka
Amkeni wabongo, huyu hana lolote ni ana hiyo Website alitaka muijue
ReplyDeleteMaana ukiangalia tangazo halina uwiano na website, unaweka website km ni kuna fomu ya kuaplai kuuza hilo gari au km maelezo zaidi ya hiyo bidhaa yapo humo au km unataka kuthibitisha we ni mtu fulani wa biashara hizo
...Wajanja tunaita CHANGA LA MACHO Hilo, we misupu nae unakosa hela za waziwazi sijui nini maana ya moderation unayofanya! Sijui labda uniambie! teh teh teh
Kichwa cha Post kiwe kinaleta maana, kichwa ni Gari kisha huku chini ni mauzo
ReplyDeletekichwa kiwe "Gari iantafutwa" mpaka lini tutakuwa makini
halafu mbona nimeenda hiyo site huya Sankofa simwoni naona wananchi wengine tu?