Hayati Mwashabani Abdallah Liganja
BISMILLAH RAHMAN RAHIM

Ni Miaka miwili sasa huku tukikosa upendo, ucheshi, kicheko, hadithi na mambo mengi mazuri ulotufundisha. Mama yetu mpendwa japo haupo nasi kimwili upo nasi kiroho.

Unakumbukwa sana na Mume wako George Mapango, wanao Mariam (Chuma), Eva (Hawa), Jackson (Kibabu), Patrick (Said) Rose, Richard (Richie), Mariam na mziwanda wako maria uliyependa kumwita (IA), Mkweo Deogratias, mjukuu wako Precious ndugu, jamaa, majirani, marafiki na wafanyakazi wenzako.
Tulikupenda lakini Mungu kakupenda zaidi.

Kisomo cha Mpendwa wetu kimefanyika siku ya Jumamosi tarehe 06 Juni, 2009 Yombo Vituka, Dar es salaam. Tunawashukuru nyote mliofika. Asanteni na Mungu awabariki.

INNA LILAH WAINA LILAH RAJIUN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2009

    Mungu amrehemu huko aliko, zidisheni kumuombea dua kila siku na kumtolea sadaka, ni mambo peke yanayowafaa waliotangulia, na sisi tukijaandaa kuelekea huko huko, marekebisho kidogo kwenye Ayat ni kwamba inatakiwa iandikwe na isomeke hivi: INNA LILLAHI WA INNA ILEIHI RAJIUUN.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2009

    jamani huyu mama aliwahi maghorofa ya ocean road?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 11, 2009

    ndio yeye ndugu...mmungu alaze roho yake mahali pema peponi inna lillahi wainna ileahi rajiuun.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...