uongo mbaya, chemba ya bunge yetu imekucha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2006

    Mungu Ibariki Tanzania,kwa mtazamo wangu naona ni jengo bora la bunge in Africa.Development.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2006

    kuwa na jengo hilo, wakati treni zinaishia dodoma ni ukosefu wa akili

    ReplyDelete
  3. hela ya kujenga jengo hili ingetosha kutuvutia maji uswazi halafu wao wangeendelea kutumia lile lingine

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2006

    Anony wa july 30(5.56:50AM) umenifurahisha sana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 31, 2006

    Kama marekani vile. Nina uhakika kasi ya kujenga majengo ikielekezwa kwenye sehemu nyingine za maendeleo ni three years tu nasi kama marekani.

    ReplyDelete
  6. anoy hapo juu...three years nasi kama marekani?ladba South Africa...but no, we still have along way to go japo kweli maendeleo yangefanyika kwenye sector nyingine,tungesonga mbele

    ReplyDelete
  7. Wana vyoo visafi lakini? Maana vyoo vya jengo la Dar es Salaam haviingiliki! Vichafu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...